Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kule Kwenye page ya sekretariati ya ajira wamesema mshahara wa January tunapata walimu wote kikubwa tuwahi kuripot

Lakn acha nikusikilize wewe hawa wanasiasa sio wa kuwaamini sana
Inaonekana huna uelewa wa kutosha na masuala ya mishahara. Unadhani mshahara ni kama pumzi, mnavuta na kupumua wote kwa wakati mmoja.
 
Wew usie na kazi unafata nini huku..
Mngeweka password tusiolipwa mishahara tusingeweza ingia huku, kwa kuwa ni free mtatuona sana na tutaendelea kuwashangaa. By the way ela ya kuisubiria hivyo SI inapita tuu kama maji asee
 
Back
Top Bottom