Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,614
- 171,564
Kumbe ni mafungu mafungu, nikajua nimesahaulikaHaya mambo ya watumishi kulipwa mishahara kwa mafungu, zamani hayakuwepo. Siku hizi sijui shida iko wapi!
Kumbe ni mafungu mafungu, nikajua nimesahaulikaHaya mambo ya watumishi kulipwa mishahara kwa mafungu, zamani hayakuwepo. Siku hizi sijui shida iko wapi!
Tupe madini Mkuu usilaani Bure tupe shuleHakuna umasikini na laana mbaya kwenye maisha kama kuishi kwa kutegemea mshahara tu. Ni utumwa wa kisasa ambao ukichelewa kuustukia unakuwa katika hali mbaya sana baadae.
Rafiki i hope na kwako mambo pia yalishakuwa manono.
Zamani mzigo ulikuwa unaingia kwa wakati mmoja kwa wafanyakazi wote.Au mabeberu washaanza kufanya yao
Hujajaza pepmisHivi kuna watu bado hawajapata salary ,kwangu ad saiz bado nmewauliza wadau wanasema tangu ijumaa wao ilisoma
Hauko peke yako. Muda ukifika wataingiza tu, hata kama ni baada ya wiki moja. Hazina haina hela. Na ndiyo maana mishahara inalipwa kwa mafungu.Hivi kuna watu bado hawajapata salary ,kwangu ad saiz bado nmewauliza wadau wanasema tangu ijumaa wao ilisoma
Kukata kivip mkuu, sijakuelewaWashakata huko wakuu?????
Makato yao , kwa wale wenye makato... maana hyo ndio early sign.Kukata kivip mkuu, sijakuelewa
BadooWashakata huko wakuu?????
Acha kuleta taharuki after all hatuna njaa kihivyoNMB kitu imesoma muda huu. Wale wa crdebe pole yenu
Wewe dada tuliza tako basiNMB kitu imesoma muda huu. Wale wa crdebe pole yenu
Hahahaahaaa Tukutane januari mkuuNMB kitu imesoma muda huu. Wale wa crdebe pole yenu
😀😃Tulia kwanza mkuuNi kwamba watu mmeshapata mshahara au ni roho ya uasi imewaingia! Tarehe kama hizi kuususia huu uzi kwangu naona ni usaliti wa waziwazi.