DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,115
- 11,941
Mi nitashiba hata wasipotoa mshahara vp kuhusu haki zangu zingine kama uhai wangu ambao kwa hivi karibuni Watanzania wengi hawana uhakika nao, vp kuhusu ndugu zangu ambao nina uhakika kwamba hata issue hiyo ndogo ya kushiba hawana uhakika nayo kutokana upumbavu wa akina Samia.Twende tukiwa tumeshiba