Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 2,483
- 5,624
Mimi crdb bado
crdb matako yaoMimi crdb bado aisee
kwangu badoCRDB ndo imeingia
Mimi crdb bado
Zinakuja kwa mafungu mafungu boss, Soon utapata tu.Mimi crdb bado aisee
Sure nishadaka na increment juuZinakuja kwa mafungu mafungu boss, Soon utapata tu.
Zuga unaenda kuangalia mpira. Hawajui kitu kuhusu mpira.Leo ilipaswa niagize Kitimoto nusu na Kaugali hivi nivute na safari zangu saba shida kaja Wifi yenu na ni swala tano
Mi toka jana.Mimi crdb bado
Yes, hongera ya mwaka wameweka pia. 🤝Sure nishadaka na increment juu
Tupo wengi bilabila mpaka sahiviHaka kauzi ukikaona mpaka leo kana trend, basi utambue fika kuna watumishi bado hawajalipwa.
Haya mambo ya watumishi kulipwa mishahara kwa mafungu, zamani hayakuwepo. Siku hizi sijui shida iko wapi!Tupo wengi bilabila mpaka sahivi
Au mabeberu washaanza kufanya yaoHaya mambo ya watumishi kulipwa mishahara kwa mafungu, zamani hayakuwepo. Siku hizi sijui shida iko wapi!