Nimekupata mkuu Asante sana ... Maana yupo kimya itabidi zikifika tarehe hizo tumuulize.HR wako anataarifa zote maana yy ndio anawaingiza kwenye payroll...majina yasiporudi lazima awape reason, kama ni vyeti au vp...ikifika trh 16-20 muulize maana payroll inakuwa imetoka