Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kwasasa hamuwezi kuelewana halafu mnaleta taharuki subiri barua iwe tayari halafu apate ile pressure ya kukopa halafu ile hela iishe hapo ndio anakua rasmi mtumishi wa Umma.
kwan Lazima Ukope
 
Hongera sana mkuu...wengine tupo ajira mpya lakini salary ya mwezi huu hatujapata wala kujikimu hamna....sijui tutapata au vp No SQL ipoje hii
HR wako anataarifa zote maana yy ndio anawaingiza kwenye payroll...majina yasiporudi lazima awape reason, kama ni vyeti au vp...ikifika trh 16-20 muulize maana payroll inakuwa imetoka
 
Back
Top Bottom