Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Pesa yote inayotumwa kwenye akaunti lazima kwenye bank statement ioneshe imetumwa na nani.. lazima utakua umejua alietuma ama anaetuma
Inatoka serikalini maana inaandikwa MUSE payment no.... Lakini ni the same amount mwezi wa pili mfululizo na haisemi ni malipo ya nini zaidi ya kusema MUSE payment....

Ngoja niishie hapo
 
Pengine unalipwa madeni yako uliyokuwa unadai....
Au umeandikwa umeshiriki semina fulani we hujui, siku unajua ndio utashangaa vizuri
 
Inatoka serikalini maana inaandikwa MUSE payment no.... Lakini ni the same amount mwezi wa pili mfululizo na haisemi ni malipo ya nini zaidi ya kusema MUSE payment....

Ngoja niishie hapo
Hayo ni malipo halali ila hujaambiwa ni ya nini.

Mimi nilipohama kutoka Halmashauri kuja Taasisi malipo yalikuwa yanaingia nikawa nawauliza wadau wananipa majibu.

Halmashauri nilikuwa nalipwa mshahara tu ila nilipohamia kuna:
●House Allowance kila mwezi
●Transport Allowance kila mwezi
●Overtime Allowance kila mwezi
●Communication Allowance kila mwezi
●Seniority Allowance kila mwezi
●Professional Allowance kila mwezi

Pesa hizi nikiwa mgeni nilikuwa sielewi ila baadae nikapata elimu.
 
Labda niulizie maana sikumbuki kudai chochote na laki tisa na kitu ni parefu kwangu nishazoea salary kwa salary!
 
Hayo ni malipo halali ila hujaambiwa ni ya nini.

Mimi nilipohama kutoka Halmashauri kuja Taasisi malipo yalikuwa yanaingia nikawa nawauliza wadau wananipa majibu.

Halmashauri nilikuwa nalipwa mshahara tu ila nilipohamia kuna:
●House Allowance kila mwezi
●Transport Allowance kila mwezi
●Overtime Allowance kila mwezi
●Communication Allowance kila mwezi
●Seniority Allowance kila mwezi

Pesa hizi nikiwa mgeni nilikuwa sielewi ila baadae nikapata elimu.
Upo vizuri Afisa, hamna nafasi za kuhamia huko na sie tukimbie TGS
 
Hayo ni malipo halali ila hujaambiwa ni ya nini.

Mimi nilipohama kutoka Halmashauri kuja Taasisi malipo yalikuwa yanaingia nikawa nawauliza wadau wananipa majibu.

Halmashauri nilikuwa nalipwa mshahara tu ila nilipohamia kuna:
●House Allowance kila mwezi
●Transport Allowance kila mwezi
●Overtime Allowance kila mwezi
●Communication Allowance kila mwezi
●Seniority Allowance kila mwezi

Pesa hizi nikiwa mgeni nilikuwa sielewi ila baadae nikapata elimu.
Hizo posho hazifiki hata 1m

Btw kuna mashirika yanalipa house🏠 900,000/-, extra duty 1.5m
 
Back
Top Bottom