Sitoi taarifa ila ya mwezi huu nimeipotezea. Iliyopita nilipita nayo kama mwewe!Mkuu hiyo ni kesi
Toa taarifa Kwa mamlaka husika
Japo inataka uwe na moyo wa chuma
Kama mshahara wako uko chini ya 5m bado unateseka sanaTarehe za uzi kufufuka zimewadia
Hakuna haja ya kutoa taarifa, azitumie tu kwa akili ili itakapotokea kuzirejesha awe na uwezo huo.Mkuu hiyo ni kesi
Toa taarifa Kwa mamlaka husika
Japo inataka uwe na moyo wa chuma
Exactly ndo maana ya mwezi huu nimeipotezea. Kikinuka laki tisa sio issueHakuna haja ya kutoa taarifa, azitumie tu kwa akili ili itakapotokea kuzirejesha awe na uwezo huo.
Tajiri huu uzi haukuhusu tumia milioni sita zako kwa nafasiKama mshahara wako uko chini ya 5m bado unateseka sana
Mishahara ikutane? Never!
Tufanye hata mwezi 😂Mishahara ikutane? Never!
Death and funeral announcement
😂😂😂😂Death and funeral announcement
Ikutane ifanye nin?
Wasifike huko, mwombeni Dully watufanyie AlhamisAisee tarehe husika this time watatupeleka Friday hawa
Ikutane ifanye mambo makubwaIkutane ifanye nin?
Hehehehehee mshahara haupaswi kuona giza 3
We sema tu nisiombe salary advance hadi tar 10 tu siweziTufanye hata mwezi 😂
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌We sema tu nisiombe salary advance hadi tar 10 tu siwezi
Duh nchi hii Ina hela sana EEH...watu wanatumiwa tu pesa kwenye akaunti Bure Bure tu ..aisee..Sitoi taarifa ila ya mwezi huu nimeipotezea. Iliyopita nilipita nayo kama mwewe!
Noma mzeeDuh nchi hii Ina hela sana EEH...watu wanatumiwa tu pesa kwenye akaunti Bure Bure tu ..aisee..
Pesa yote inayotumwa kwenye akaunti lazima kwenye bank statement ioneshe imetumwa na nani.. lazima utakua umejua alietuma ama anaetumaNoma mzee