NMB tayariWakuu,
Umeuliza au una maanisha kwako tayariNMB tayari
Kaka vp mbona mzigo CRDB tangu saa nane mchanaCRDB mnazungushia biashara mshahara wangu
Mimi hawajakata kabisaCRDB wamenishushia kiwango cha salary advance
Hupati kitu.tuliopata placement mwezi wa 9 na kureport tareh 9 hivi mshahara tutapata kweli wakuu?
Natoa taarifa kua NMB wameshapokea mshaharaUmeuliza au una maanisha kwako tayari
Unapata, ukifanya kazi zaidi ya nusu mwezi unakula mshahara wako full.tuliopata placement mwezi wa 9 na kureport tareh 9 hivi mshahara tutapata kweli wakuu?
Hayo makombo ya CCM ndio yanakuchanganya akili baada ya siku kadhaa utaanza kupiga mayowePunguza ushauri, Utatuchanganya
Waiter Lete Beer Mbili za baridi halafu niitie mtu wa Jiko la Kasongo
Haya nenda katoombee mshahara.Na mimi nimepokea asubuhi ya leo. Tuonane mwezi wa kumi.