Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Natamani niwaambie kitu watumishi wa serikali.msitegemee kuishi kwa mshahara mtakufa masikini .
Ushauri mzuri sana huu ila Kwa Mtu ambaye atakubali Kupishana kauli sana na Wakuu wake wa Kazi huko kazini..

Huku mtaani Usipokomaa side hustle zako zitakufa mapema sana bila Usimamizi mzuri
 
Dadekiii hii ya leo kali waga ukisikia hata bank flan tayari uanjipa moyo ila hadi sasa GVT 3 : 0 Wahangaikaji
 

Attachments

  • Screenshot_20250923_204905_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20250923_204905_WhatsApp.jpg
    57.8 KB · Views: 27
Back
Top Bottom