The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
NMB wanasemaje?NBC mzee
NMB wanasemaje?NBC mzee
TayariiiiiiNMB wanasemaje?
wewe unasema kweli.nbc tayar.nimewasiliana na mdg wangu yupo tanzaniaNBC mzee
Mwalimu kwa hali hii kwenye maandamano utaenda kweli 😄Hamna kitu mpaka muda huu.
Kuwa mvumilivu kuna mdogo wnagu moja kapata saa naneMi ni crdb bado!
Sure mi huwa inachelewa kwa masaa karibu kumiKuwa mvumilivu kuna mdogo wnagu moja kapata saa nane
Wanataka tufe njaaCRDB watapata tarehe 30,maana wanaogopwa hela zitapigwa kama walivypigwa.
vicious cycle of.....?Mkalipe sasa madeni halafu mrudi tena kwenye cycle🔃 ile ile ya mikopo
Punguza ushauri, UtatuchanganyaMkalipe sasa madeni halafu mrudi tena kwenye cycle🔃 ile ile ya mikopo