Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kama una makato maybe bodi ya mkopo au mkopo wa bank kama ulikopa kwenye kipengele cha e-loan ndio mtu unachungulia kama kuna deduction imefanyika

Kikisoma huko ujue muda wowote ndani ya masaa 24
Vp kimeshasoma?
 
Hii imekaa vizuri mkuu ngoja niagize mbuzi kitunguu na beer za baridi muda wowote kinanuka
Kamanda unaweza kuosha vyombo hivihivi labda kama hapo wewe ni STAfF


MAKATO yanaweza kuwa leo ila salary hadi kesho muda kama huu
 
Back
Top Bottom