Amo1
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,748
- 2,873
Leo imepitaSi ndio siku hizi au?
Leo imepitaSi ndio siku hizi au?
Kabisa na tushakula ...Mambo yameiva naona
Benki gani mkuuMambo yameiva naona
Wakuu bado hakijaeleweka?
HakunaWakuu bado hakijaeleweka?
Duh hatari sana! Acha tuendelee kuvuta subraHakuna
😀😀😀😀😀😀😀Hakuna
Jambo ganiSasa naanza kuelewa Jambo... Good morning my neighbors 😂
Nchi haina kitu babaJambo gani
Hao mapolisi ndio wanyonge kuliko,hawaruhusiwi kulalamika hata kimyakimyaNchi haina kitu baba
Sasa jiongeze ni kweli hakuna hela au kuna sabotage zinafanywa kwa makusudi
Me ombi langu kubwa uendelee kuchelewa hadi kwa mapolisi.
f**ck you,,,,f**ck you too😂😂😂😂😂Sasa naanza kuelewa Jambo... Good morning my neighbors 😂
Punguza ushauri jamaa.Natamani niwaambie kitu watumishi wa serikali.msitegemee kuishi kwa mshahara mtakufa masikini .