Mtavuta mpak bangi 🤣🤣🤣 mkiambiwa muanzishe biashara kama side haso hamtaki kuleni chuma hichoDuh hatari sana! Acha tuendelee kuvuta subra
Mtavuta mpak bangi 🤣🤣🤣 mkiambiwa muanzishe biashara kama side haso hamtaki kuleni chuma hichoDuh hatari sana! Acha tuendelee kuvuta subra
Sasa watumishi wote wakiwa wafanyabiashara na wafanyabiashara watakua wakina nani?.Mtavuta mpak bangi 🤣🤣🤣 mkiambiwa muanzishe biashara kama side haso hamtaki kuleni chuma hicho
Tajiri biashara fanya wewe sisi acha tuendelee kuwa watumishiMtavuta mpak bangi 🤣🤣🤣 mkiambiwa muanzishe biashara kama side haso hamtaki kuleni chuma hicho
Benki ganiHatimae kimeitika kwaheri tukutane mwezi ujao
Benki gani hiyo mzeeHatimae kimeitika kwaheri tukutane mwezi ujao
AnatuchanganyaBenki gani hiyo mzee
Bank ipi hyoTayari
Tunachangamsha jukwaa mkuu.Bank ipi hyo
Hamna kitu mpaka muda huu.Uooo uzi ufungwe tukutane october
CRDB tayariHamna kitu mpaka muda huu.
Ngoja tusubiriCRDB tayari
Kwangu naona bado..ngoja nisubiriCRDB tayari
Hawawezi shindwa kulipa mishahara ila wanazingua kucheleweshaNchi haina kitu baba
Sasa jiongeze ni kweli hakuna hela au kuna sabotage zinafanywa kwa makusudi
Me ombi langu kubwa uendelee kuchelewa hadi kwa mapolisi.
Na wanunuzi?Sasa watumishi wote wakiwa wafanyabiashara na wafanyabiashara watakua wakina nani?.
Hivi chakula kikiishaga nyumbani huwa unafanyaje? Si unarudi usiku usiku watu wakiwa wamelala ili usionekane sasa ndio hivyo'Hatukuwalazimisha wafanye tarehe 23. Ni utaratibu waliotupangia. Kama wameshindwa basi watupe taarifa.
Hata wangesema ni tarehe 29 sisi hatuna maneno ila at the end of every 30 days watimize wajibu wao.