Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,505
- 11,358
Exim Bank of California tiyari
Bila bilaDah hata benki moja Bado?
Alokuambia anataka kufa tajiri nani????Natamani niwaambie kitu watumishi wa serikali.msitegemee kuishi kwa mshahara mtakufa masikini .
Tufanye mwakani kabisa!Hapo mpaka kesho
Sasa na huyu mgeni niliyenaye, nitamlisha nini?Hapo mpaka kesho
Punguza kiherehereKwani Kila anaetoa ushauri ameombwa?
Mwambiye upo kwenye mfungoSasa na huyu mgeni niliyenaye, nitamlisha nini?
🤣 🤣Alokuambia anataka kufa tajiri nani????
,Dah hata benki moja Bado?
Mnunulie mhindi wa kuchoma 200 mpe na maji ya kunywa 😂😂😂Sasa na huyu mgeni niliyenaye, nitamlisha nini?
Bata bila pesa mkuu?Muda wa bata
Yuko soft sana, ebu njoo wewe mzee mwenzangu najua ata kwa mahindi tutaishi.Mnunulie mhindi wa kuchoma 200 mpe na maji ya kunywa 😂😂😂