Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,518
- 3,041
Tayari ,Kwani??
Hatukuwalazimisha wafanye tarehe 23. Ni utaratibu waliotupangia. Kama wameshindwa basi watupe taarifa.
Hata wangesema ni tarehe 29 sisi hatuna maneno ila at the end of every 30 days watimize wajibu wao.