Ata mimi ni bila bila ila kwenye pepmis washakata makato yao. Nimewaza isijekuwa kama mwezi uliopita wa nane maana niliwekewa mshahara tarehe 27.Mpaka sasa bila bila
By the way kama mshahara wako uko chini ya 3,000,000/- hapo utahaso sanaNatamani niwaambie kitu watumishi wa serikali.msitegemee kuishi kwa mshahara mtakufa masikini .
Hata kama unalipwa milioni 3 kama huna biashara Bado utaendelea kukimbizwa na umasikini.By the way kama mshahara wako uko chini ya 3,000,000/- hapo utahaso sana
Una chanzo cha uhakika?Soon cmu zitaanza iita kabla ya saa saba tulieni
Jf mnajifanya matajiriNatamani niwaambie kitu watumishi wa serikali.msitegemee kuishi kwa mshahara mtakufa masikini .
Shida ndio hii sasa mkishauriwa mnaanza maneno.Jf mnajifanya matajiri
Kila mwezi una mdai mtu huyo huyo usijisikie mbaya kuonekana ni mwenzetuNina mdeni wangu anasubiri mshahara. Ikitoka tuambizane.
Nioneshe post zangu zaidi ya mbili katika hii thread.Kila mwezi una mdai mtu huyo huyo usijisikie mbaya kuonekana ni mwenzetu
Utatuambia ni mdogo wako ama vip?Kuna watu wengine hawana habari na mshahara Kwa sasa, watu washalipwa hela zao za safari
Kila mtu analijua hili. Punguzeni ushauri wakuu watu wana malengo yaoNatamani niwaambie kitu watumishi wa serikali.msitegemee kuishi kwa mshahara mtakufa masikini .