By the way kama mshahara wako uko chini ya 3,000,000/- hapo utahaso sanaNatamani niwaambie kitu watumishi wa serikali.msitegemee kuishi kwa mshahara mtakufa masikini .
By the way kama mshahara wako uko chini ya 3,000,000/- hapo utahaso sanaNatamani niwaambie kitu watumishi wa serikali.msitegemee kuishi kwa mshahara mtakufa masikini .
UNahonga buku50Hizi nundu ndio zinazomaliza pesa zangu
Punguzeni ushauri,By the way kama mshahara wako uko chini ya 3,000,000/- hapo utahaso sana
Chakula, Kinywaji, Lodge na Kifuta jashoUNahonga buku50
Wamekuomba ushauri?Shida ndio hii sasa mkishauriwa mnaanza maneno.
Mkuu ukiwa tajiri ww inatosha..achana na sisiNatamani niwaambie kitu watumishi wa serikali.msitegemee kuishi kwa mshahara mtakufa masikini .
Naunga mkono hoja Kila mtu aishi kadri anavyoona inafaa. Akishauri aoneshe yeye utajiri wake ukojeMkuu ukiwa tajiri ww inatosha..achana na sisi
Kwani Kila anaetoa ushauri ameombwa?Wamekuomba ushauri?
SawaKila mtu analijua hili. Punguzeni ushauri wakuu watu wana malengo yao
SawaMkuu ukiwa tajiri ww inatosha..achana na sisi
Pisi pisi izo pisi pisi izo nikiziona moyo una dunda tena pisi izo pisi izoHizi nundu ndio zinazomaliza pesa zangu
😀😀UNahonga buku50
Mambo yetu tuachie wenyeweNatamani niwaambie kitu watumishi wa serikali.msitegemee kuishi kwa mshahara mtakufa masikini .
unaanza kuharibu uzi boss tulia mtu mzima hashauriwi washauri wanaoNatamani niwaambie kitu watumishi wa serikali.msitegemee kuishi kwa mshahara mtakufa masikini .
Labda kitendea kazi kitakuwa na shida
Hana hela ya bando.
🤣🤣🤣
Hana hela ya bando.