Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,472
- 3,534
ungekutanisha mishahara usingekuwa hapa tangu ijumaa, na kama kweli umekutanisha basi ni wangama kiasi kwamba wangechelewa kidogo tu ungekomba akaunti nzima usijelala njaaKukutanisha mishahara ni raha😄😄
Zinajaa tu