Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Sasa huu uzi si utakua na comment milioni au bilioni mpaka kustaafu...
Maana wengi ndo kwanza 3rd floor...
Au labda JF ifutwe
Ukishafika 3rd floor ujuwe wewe ni mzee tayar... Sawa mzee mwenzangu...!!!?
 
Back
Top Bottom