Kilimbatzx
Senior Member
- Jul 31, 2025
- 188
- 222
Mh
CrdbBank gani
Mnafungaje Uzi wakati mimi hadi sasa hivi saa 4:10 bilabila! Mvute subira kidogoUzi umefungwa rasmi
Tupo na wewe kamanda. Kuna ombi tumepeleka kwa Mods kufika tarehe 20 wawe wanaweka LIVE hadi tarehe 24 hivi.Mnafungaje Uzi wakati mimi hadi sasa hivi saa 4:10 bilabila! Mvute subira kidogo
Niliweza mwaka wa kwanza wa ajira tuKukutanisha mishahara ni raha😄😄
Zinajaa tu
Sio tarehe 24 ni hadi mshahara utoke 😀Tupo na wewe kamanda. Kuna ombi tumepeleka kwa Mods kufika tarehe 20 wawe wanaweka LIVE hadi tarehe 24 hivi.
Circle haiendi ivo mkaliSio tarehe 24 ni hadi mshahara utoke 😀
Nipe utaalamCircle haiendi ivo mkali
Mara nyingi wanalipa mishahara kuanzia tar 20 hadi 24 mkuu. Kwahiyo kwakua mwezi uliopita mfano walilipa tar 22 basi kufika tar 22 huu mwezi inapendeza walipw tena.Nipe utaalam
Hata mimi nakutana na deduction lakini bafo sijaona mzigo.Mshahara mwezi huu ni kituko. Wengi hatujapata. Nimeingia ess nakuta washadeduct ila pesa haionekani.
Ngoja nisubirie niko na mfawidhi wangu hapa naye hola.Naona na mimi nimekumbukwa, ambayo bado mvute subira kidogo, tunawaombea mpate mapema.
Miyeyusho sana aiseeHata mimi nakutana na deduction lakini bafo sijaona mzigo.
Bank ganNaona na mimi nimekumbukwa, ambayo bado mvute subira kidogo, tunawaombea mpate mapema.
mi sijajaza ila kasalary ndo nakamalizia hapa, hivyo vitisho vya hovyo sijui vinawahusu watumishi gani au lengo lake nini,Wale ambao hawajajaza task and subtask mpk sasa kuna hati hati ya kupokea mshahara taarifa kutoka wizaran nawapenyezea labda wawe wamebadilisha