Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wale ambao hawajajaza task and subtask mpk sasa kuna hati hati ya kupokea mshahara taarifa kutoka wizaran nawapenyezea labda wawe wamebadilisha
 
Wale ambao hawajajaza task and subtask mpk sasa kuna hati hati ya kupokea mshahara taarifa kutoka wizaran nawapenyezea labda wawe wamebadilisha
Acha kutia watu wenge Kila mtu atapata mishahara ya siku izi ndo ipo ivyoo unatoka kwa mafungu
 
Watumishi wa serikali mnafurahisha sana 😂🤣 serikali sikuhizi haina siri tena. Maisha yenu binafsi mnayaweka uchi, ndio maana ni rahisi sana kumtapeli mtumishi wa serikali ni rahisi sana kumfanyia ubaya na mambo ya ajabu mtumishi wa serikali.
Zamani ulikuwa huwezi kujua kama mtumishi wa serikali amelipwa mshahara, huwezi kujua anafanya kazi gani, huwezi kujua ana watoto au ana ndoa au mahusiano, ulikuwa huwezi kujua kama ana pesa au hana pesa... Ila sikuhizi kilakitu cha maisha binafsi ya mtumishi wa serikali mnayaleta kwenye mitandao.
Anyways mmeyataka wenyew chama tawala na serikali, ndio maana nchi imefika hapa ilipo, too bad too sad kwakwel 😅😭😎
Mshahara ukitoka mniambie na mimi 🍻🥂🍷
Ww mlipa kodi ndio boss wetu kwanini tusikuambie ujue kua unatulisha 😊
 
Ratiba ya malipo ya mshahara kwa mwaka huu 2025
Ni kama ifuatavyo
Screenshot_20250823-085551.jpg
 
Leo ndio namuelewa Mbosso maana naishiwa pawa watu kibao washapokea mshahara ila mimi
 
Back
Top Bottom