Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 6,134
- 15,622
😋😋😋, si mda mrefu kitita kitaingia kwenye account.Mbona mimi bado jamaniðŸ˜ðŸ˜
😋😋😋, si mda mrefu kitita kitaingia kwenye account.Mbona mimi bado jamaniðŸ˜ðŸ˜
Local+Serikali kuu badoAu hiyo mishahara iliyotoka inahusu zile idara zetu nyeti ila wake wa local government bado?
Moja ya shirika la uma (SU)Yuko kada nyeti?
Hongera sana bosiCRDB mshahara tayari. Nadhani wengi hatutalala kinyonge leo.
Yeleee yelleeeee, shangwe tuCRDB mshahara tayari. Nadhani wengi hatutalala kinyonge leo.
Silazimishi mtu kuamini sasa nidanganye nipate nini .Anazingua huo, yaani aone yeye tu. Au yeye ndiyo Waziri wa Fedha ameanza kulipwa yeye peke yake kwanza?
Sasa hakuna haja ya kusema kumbe ukweli ni kwamba NMB teyariItakua kweli mi nipo na mtu hapa ameshapokea tangu saa mbili
Wengine bado aiseeh!!CRDB mshahara tayari. Nadhani wengi hatutalala kinyonge leo.
Hahaha. Hata mi crdb ni holaWengine bado aiseeh!!
Simu zipo mkononi muda wote
Jamaa punguza ukali .Ukweli nikwamba Nmb teyari ukubali au ukatae huo ndio ukweliAnazingua huo, yaani aone yeye tu. Au yeye ndiyo Waziri wa Fedha ameanza kulipwa yeye peke yake kwanza?
Usikubali kulala kamanda. Linda kibunda chako usirudi nyumbani leo.Wengine bado aiseeh!!
Simu zipo mkononi muda wote
Kufika saa 1 asubuhi kila mtu atakua na tabasanu usoni.Hongera sana bosi
Mwanangu unaaminika sana ujue? Kama unadanganya sio poa.CRDB mshahara tayari. Nadhani wengi hatutalala kinyonge leo.
Mshahara ushaingia Mkuu ule utoto ulishaisha humuMwanangu unaaminika sana ujue? Kama unadanganya sio poa.
Siwezi kufanya ilo kosa aisee. Najua maumivu yake. Kuna mtu alisema pesa tayari nikamchukua boda tukaenda ATM namsubirisha nje hafu pesa Nacheki sina kitu.Mwanangu unaaminika sana ujue? Kama unadanganya sio poa.
EhhHuku tushalipa salary advance tunasubiri tar 10 tukope tena. View attachment 3449697
Kama mimi, sijalala bado nimepitia uzi wetu huu sasa nilale labda kesho maana ata mwezi haja mshahara uliingia kama 7:49 asubuhi.Wengine bado aiseeh!!
Simu zipo mkononi muda wote