Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,106
- 12,124
Sijui Nmb huko?Wapi waliobonyeza? 🤣🤣🤣
Yaani hapa zinaingia sms za songesha tu kudai chao, ile sms pendwa siioni yani.
Sijui Nmb huko?Wapi waliobonyeza? 🤣🤣🤣
Mi mwenyewe inaingia meseji ya kamilisha 😭Sijui Nmb huko?
Yaani hapa zinaingia sms za songesha tu kudai chao, ile sms pendwa siioni yani.
Hakika NMB 🤣🤣🤣🤣🤣Kama una MKOPO bank,, check salary slip ya July then longanisha na deni lililopo sasa kwenye Ess
NMB wanakula nchi🤣🤣🤣🤣🤣🤣kuna dalili wazee?
Huu ni wa kudumuSasa huu uzi si utakua na comment milioni au bilioni mpaka kustaafu...
Maana wengi ndo kwanza 3rd floor...
Au labda JF ifutwe
Kwa kweli asee......nahisi utakuwa uzi mrefu kuliko wote....maana wengi tupo 3rd floor mpka tustaafu utaupita hadi ule uzi wa kula kimasihara😂😂😂Sasa huu uzi si utakua na comment milioni au bilioni mpaka kustaafu...
Maana wengi ndo kwanza 3rd floor...
Au labda JF ifutwe
Hatari sana 😂Mi sio wa kuangalizia mpira mazingira kama haya
Nasubiria NMB mpaka sasa ni moshi mweusi saa 20:27NMB ya wapi jamani hiyo Tayari yaa nashindwa hata kutoka Ofisini nigongee Game ya stars hapa jamani
Napigiwa simu na Manager Boss upo wapi tukutunzie bia ngapi!!!
Inategemea upo idara gani mkuuNasubiria NMB mpaka sasa ni moshi mweusi saa 20:27
Hapa watu wanastafu,wengine wanaajiliwa kama kata funua.Sasa huu uzi si utakua na comment milioni au bilioni mpaka kustaafu...
Maana wengi ndo kwanza 3rd floor...
Au labda JF ifutwe