Mi emptyCRDB tayari
Nmb teyari mzeeNasubiria NMB mpaka sasa ni moshi mweusi saa 20:27
Mi naona BilabilaNmb teyari mzee
Saa ngap imeingiaNmb tayari
Crdb mi badotunaomba confirmation tu. Wengine hatuna App kwenda ATM sahivi kutiana aibu
Saa kumi na mbili na dakika 44 sio uongo mzee kweliSaa ngap imeingia
Nmb?Saa kumi na mbili na dakika 44 sio uongo mzee kweli
Utapata tu meseji hata kesho asubuhiMi naona Bilabila
Mshahara teyariStarz imefungwa tegemea mshahara j5
Ndio nmbNmb?
Au hiyo mishahara iliyotoka inahusu zile idara zetu nyeti ila wake wa local government bado?Ndio nmb
Anazingua huo, yaani aone yeye tu. Au yeye ndiyo Waziri wa Fedha ameanza kulipwa yeye peke yake kwanza?Au hiyo mishahara iliyotoka inahusu zile idara zetu nyeti ila wake wa local government bado?
Itakua kweli mi nipo na mtu hapa ameshapokea tangu saa mbiliAnazingua huo, yaani aone yeye tu. Au yeye ndiyo Waziri wa Fedha ameanza kulipwa yeye peke yake kwanza?
Yuko kada nyeti?Itakua kweli mi nipo na mtu hapa ameshapokea tangu saa mbili