Kiplayer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,355
- 2,261
Wapi waliobonyeza? 🤣🤣🤣Kwani jamaa wa CRDB anachelewa nini kubofya kitufe watu turufahi, Kama makato yao washachukua.
Wapi waliobonyeza? 🤣🤣🤣Kwani jamaa wa CRDB anachelewa nini kubofya kitufe watu turufahi, Kama makato yao washachukua.
Usikute mtu anasubiri game la Tz vs Moroc ndio aruhusu mshaharaLeo kitu lazima!
Hilo game ilitakiwa iwe tayari tunaicheki na kitu cha nganoUsikute mtu anasubiri game la Tz vs Moroc ndio aruhusu mshahara
ova hela yao aisee. watupe tuHilo game ilitakiwa iwe tayari tunaicheki na kitu cha ngano
Shida itaanza pale stars atakapobondwa 🤣🤣🤣Usikute mtu anasubiri game la Tz vs Moroc ndio aruhusu mshahara
Dah aiseeShida itaanza pale stars atakapobondwa 🤣🤣🤣
Uhakika wa kula upo?Bila bila, hapa naelekea kwa mangi anikopeshe ata balimi 4 nitalipa jumatatu.
Kama una MKOPO bank,, check salary slip ya July then longanisha na deni lililopo sasa kwenye EssUmeangalia vp ?
Piga hesabu za kukosa leo ili ukipata iwe surprise ufurahi.Kwahiyo ndio wamegoma!! Ilimradi tu tukimbie familia, tuonekane hatujali😭😭😭
Hata ukitoka , sikulipi.Nmb kama shimo limetema mseme kuna polisi wawili nawadai
bila bila, nasubiria wasamaria wemaUhakika wa kula upo?
Hatari sana mkuu 🤭
Unatoa amri au maelekezo mkuu?Mshahara watu watapata kuanzia kesho asubuhi.
😂Mods wekeni LIVE