Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,286
- 5,512
Watumishi walipata July jkiwemo Hrs ila wao wanapata mabadiliko mapya tofauti na JulyWatumishi wote au hao hr
Watumishi walipata July jkiwemo Hrs ila wao wanapata mabadiliko mapya tofauti na JulyWatumishi wote au hao hr
Pole!Mimi nliagiza Jana rost akaweka na mchicha ule mchicha ni ya kienyej michunguu nyama yote ilikua chungu sikuweza kula
Usirudie kukopesha askari wana mikopo mingi pesa anayo bakiwa nayo ata wiki hamaliziNmb kama shimo limetema mseme kuna polisi wawili nawadai
Kuna mmoja tangu majuzi namuona anashinda baa, inawezakana kwao tayariNmb kama shimo limetema mseme kuna polisi wawili nawadai
Kitalaamu, Wadudu watakimbia wenyewe sio....!!!Pasha kidogo kidogo mkuu, usiweke moto mwingi 😅😅
Ngoja nimpigie simuKuna mmoja tangu majuzi namuona anashinda baa, inawezakana kwao tayari
Ujue hadi sasa sielewi?Huu mwezi watumishi mna hela sana ?
Labda kama sio NMB.Ujue hadi sasa sielewi?
CRDB bado mkali.Labda kama sio NMB.
Jana ulishindia mahindi ww. Leo je?Ukitoka mnijulishe; nipo hapa ofisini naandaa lesoni plani ya wanafunzi wangu wa gredi ei
Leo kitu lazima!Ila watu wa Hazina wanajiona ova wafanyakazi wa NIDA.
😁😁Ujue hadi sasa sielewi?
Kwamba NMB tayari auLabda kama sio NMB.
Hawanyooshi maelezo shida sijui nnKwamba NMB tayari au