Hesabu zimekataa mkuu😭😭Piga hesabu za kukosa leo ili ukipata iwe surprise ufurahi.
We nae na uyo halima wakoHalima ndo kaingia lebaaaa soon anajifunguaaaa
Hapo hadi Jumatano dadekiShida itaanza pale stars atakapobondwa 🤣🤣🤣
Halima anajifungua keshoooo msijaliWe nae na uyo halima wako
Sawa mkubwaHalima anajifungua keshoooo msijali
Umaskini mbaya sanaNMB tayari
Wazee wa nmb wanasema tayari, sisi crdb kama kawa tutafuatakuna dalili wazee?
CRDB inaingiaga mida mibovu utakuta saa 5 usiku.Wazee wa nmb wanasema tayari, sisi crdb kama kawa tutafuata
Yaani wanaboa usiku mnene aubunaukuta asubuhi!CRDB inaingiaga mida mibovu utakuta saa 5 usiku.
Acha masihara bhana🤣🤣🤣🤣Nmb kitu tayari
Mbona tayariMi sio wa kuangalizia mpira mazingira kama haya
Tayari kweliAcha masihara bhana🤣🤣🤣🤣