Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Sipo Mbeya ila nashinda mbeya sababu ya mimi ni importer wa bidhaa kupitia boda la Tunduma.

Na kuhusu kuhama, Nimeghairi kuhama
Biashara zangu zimekuwa sanaa mpaka nimebadilisha mfumo wa uendeshaji kuwa kampuni.

Kwahiyo acha nikomae na side hustle zangu, Kuhama nimekupotezea.

Kuhama na kusoma PhD kotee nimekupiga chini nakomaa na business.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Umefanya uamuzi sahihi mshahara haujawahi kutosha uwe halmashauri au taasisi. Karibu kwenye ulimwengu wa biashara huku ndiko pesa inapoanzia
​
 
Nani kakwambia nafanya magendo??

Nina kampuni ambayo ni full regiestered tunalipa VAT na Tuna import with TRA stickers.

Nina wafanyakazi 8 ila lengo ni kufika 12 ifikapo december/2025.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
- Kuna uzi ulisema mwenyewe au ulikuwa unafurahisha genge!?
-pambana angalau ufikishe utajiri wa 200m
 
Umefanya uamuzi sahihi mshahara haujawahi kutosha uwe halmashauri au taasisi. Karibu kwenye ulimwengu wa biashara huku ndiko pesa inapoanzia
​
Nilizaliwa na wazazi wafanyabiashara ila kwa mapenzi ya Mungu aliwachukua mapema bila ya kurithi ujuzi wowotee.

Labda damu yao ndio imenivuta huku.

Amen 🙏🙏🙏

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mimi makato yaliongezeka mwezi may, kutoka salary slip nikakuta wamenipandisha tu level 3.

Mwezi june nikaona tena makato yameongezeka, kupata salary slip nakuta tena wamenipandisha daraja.

Humu kwenye nyuzi kuna mdau akataja kwamba kaona mabadiliko ESS nikasema na mimi niende, kwenda nakuta makato ya bodi yameongezeka..!!!

Ina maana kuna nyongeza nyengine kwa miezi mara ya tatu tena au?

Maana nilitegemea deni la bodi libaki mil kadhaa na laki 2 na point ila nakuta ni mili kadhaa zilezile ila ni na laki 1 na point..!!!

Kuna nini utumishi huko au yale malalamiko yangu ya msereleko YAMEJIBU??

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Malalamiko yamesikika
 
Mim sijui wamenichinjia baharini...naona heslb ni ile ile
Hapana mkuu, lazima na wewe umeongezewa sema wewe unakosea.
Fanya hivi, angalia salary slip ya mwezi June angalia deni lako la HESLB lilikua ngapi. Alafu chukua makato yako ya kila mwezi alafu toa kwenye lile deni la mwezi June alafu chukua hilo deni toa na deni la mwezi huu utaona amount uliyoongezewa.

Kiufupi ni kwamba, Hawajabadilisha figure ile ya makato ya mwezi ipo vile vile ila kiuhalisia makato yameongezeka, nadhan mwezi ujao yataonekana au kwenye salary slip ikitoka.
 
Back
Top Bottom