Wasoja tayari mkuuMbona kimya wazee?
Empty...Mbona kimya wazee?
Sisi leo au nisilale?Wasoja tayari mkuu
Kesho asubuhi ukiwa unasaini mapokezi wakati unaingia mzigoni huku mpunga unasoma. Kiufupi unaweza usianzie ofisini, ukaamkia kwa wakala au benki kwanza.Sisi leo au nisilale?
Ubaya wanakula asilimia,unapewa mkono wa kulia halafu wanachukua mkono wa kushoto 😂ESS HELB loam imeongezeka 30k aloo hii imekaaje
Kabisa.Dagaa kwa afya bora
Kusema kweli kesho siwezi kwenda kazini kama leo, unless mzigo uingie tonight.Kesho asubuhi ukiwa unasaini mapokezi wakati unaingia mzigoni huku mpunga unasoma. Kiufupi unaweza usianzie ofisini, ukaamkia kwa wakala au benki kwanza.
Kwa nini usilale?Sisi leo au nisilale?
Mzigo utakukuta job mkuuKusema kweli kesho siwezi kwenda kazini kama leo, unless mzigo uingie tonight.
Mimi ongezeko nilipata mwezi wa 5 niliongezewa tu level 3 na june nikapandishwa daraja.
Hivyo ongezeko lipo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
nichagulieni kati ya Dualis, Subaru, na CrownNissan Dualis inamfaa😆
😅AiseeMv Barcelona napanda ili niende wapi,mi wa hapa hapa kona ya bwiru na sasa niko Las Vegas kwa nje hapa nimeagiza kuku nusu na juisi ya embe[emoji23]
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Ina maana wewe una nyongeza ya 200,000 kwenye basic salary yakoESS HELB loam imeongezeka 30k aloo hii imekaaje
Yaani umeongezewa deni au makato??ESS HELB loam imeongezeka 30k aloo hii imekaaje
Bila shaka makatoYaani umeongezewa deni au makato??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Acha tuchekeYaani umeongezewa deni au makato??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
- kama umekomaa kibishara Acha kaziMshua unanijua.
Kifupi nina kampuni ambayo mwaka jana tulipeleka TRA turnover ya Mil kadhaa, hii ni ile tuliyopeleka je ya ukweli ni ngapi?
Mshua tupo huku kujilinda na sio kama unavyofikiria..
People have SIDE HUSTLE abd they pay much.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unampangia?- kama umekomaa kibishara Acha kazi
- ulikuwa unalalamika local government mnateseka kwa low salary scale