Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,174
- 83,020
Wanazingua sanaAcheni hizo mambo!
Wanazingua sanaAcheni hizo mambo!
Na bila shaka leo mshahara umebaki nusuSisi polisi toka jana tunagonga vyupa.
Sie wenzenu bado 😀Sisi polisi toka jana tunagonga vyupa.
Mpaka dakika hii wamebakiza nusuWalimu wanajeshi Polisi wote walipata jana jioni
Polisi haishiwi! Kuna ya kiwiMpaka dakika hii wamebakiza nusu
Poleni😀Sie wenzenu bado 😀
Nasemea mshahara wao unaisha haraka,Polisi haishiwi! Kuna ya kiwi
Hayo ndio maisha yanayotakiwa. Sema baadhi wamepiga hela serikalini wakafanya uwekezaji na wengine wana masafari kibao wanajenga majumba kama hawana akili nzuri.Kuna watu hawategemei salary unakuta mtu ana nyumba 10 za kupangisha
SawaNasemea mshahara wao unaisha haraka,
Na sio police wote wanapata ya kiwi,
Wanajeshi hata mimi najua walipata tangu jana.Walimu wanajeshi Polisi wote walipata jana jioni
Mishahara yenyewe imejaa madeni, siku kadhaa tu huna kituWanajeshi hata mimi najua walipata tangu jana.
Ukilipa madeni unabaki na laki3,Kiasi cha TZS 680000 kimewekwa kwenye kadi yako inayoishia 4276, tar 22-06-2025 10:32. Kama hutambui muamala huu piga 0800002002. NMB Karibu yako
Sina madeniUkilipa madeni unabaki na laki3,
Bora tuliojiajiri tu unaingiza hela kila siku
Nyingi sana mkuu kwakifupi we mishahara inakutana 😂😂Nimebakiwa na elfu 15 😭