Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

CRDB Salio limetuna, sijapata sms nimefanya kuchungulia simbank nakuta imooooo 😂😂😂!

Nilikua nimeshaenda kununua mihogo ya kukaanga ninywee chai nimeitupa ktk Banda la kuku. Mie sio wa kula mizizi 🤸🤸🤸
Dahhh, usiache mbachao kwa msala upitao.

Mkuu naamini hiyo mihogo kama kweli umeitupa kuna siku utaikumbuka tu.
 
Back
Top Bottom