pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,645
- 14,809
Nenda kasome barua ya King leopard kwanza halafu ndio urudi hapa tuendelee na mjadala haya mambo mzizi wake ni mrefu.what we really need is spiritual freedom! uwe na uhakika ukitwaliwa leo au kesho kutoka katika maisha haya unaenda wapi.