Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Makato ya kutumia Simbanking au NMB mobiles ni mengi na ya hovyo sana.
Hakuna hata sababu ya kuwa nazo.
Makato gani?

Kwani lazima uwe unatoa hela kupitia Simbanking?

Si unakua nayo kwa ajili ya "use cases" kama hizi?

Mshahara ukiingia/ mtu akikutumia pesa kupitia bank account, huna haja ya kusubiri SMS au kufunga safari ATM. Unafungua App fasta unachungulia (ni bure).

Simbanking makato yanakuja kama utaanza kuitumia kuhamisha hela (kuwatumia watu pesa kwenye mobile money zao).

Hakuna makato ya kila mwezi eti kisa unatumia Simbanking.
 
We jamaa kama hujui uliza, nenda kachukue bank statement yaki kisha ndio useme hakuna makato.
 
Back
Top Bottom