Huu wa April nao full matege, hadi muda huu jus limezama lkn kuko kimyaVipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
Huu wa April nao full matege, hadi muda huu jus limezama lkn kuko kimyaVipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
Kwahiyo Tanzania nzima hakuna pepmisMkiambiwa jazeni PEPMIS mnakuwa wabishi.
Kama huna uhakika na kitu usijibu,Wengi tuliocomment NMB tayari ni wale tuliopata sms tumekuja kutoa feedback ili ŵengine wajue.Acheni kuwadanganya wenzenu, Kuna wengine wako mbali na banks na hawatumii Mobile Banking Services watachoma kwenda kuangalia salio wakose hata hela ya kula.
borq wewe huna majukumu. unabaka na lak 3 na hamna kitu umesolve imagine.Kweli wameweka... ndo nimepata meseji dakika hii... ngoja nikaifanyie umalaya hii hela
Nina majukumu mkuu ila ni bangi tu zinaniendeshaborq wewe huna majukumu. unabaka na lak 3 na hamna kitu umesolve imagine.
Kukosa App ya nmb wakati mshahara unapitia huko ni uzwazwa.Acheni kuwadanganya wenzenu, Kuna wengine wako mbali na banks na hawatumii Mobile Banking Services watachoma kwenda kuangalia salio wakose hata hela ya kula.
CRDB bado mkuu wetuUzi kwisha habari yake
Huku kwangu bilabila wakuu, au Hawa NMB wanatoa kwa upendeleo!Uzi kwisha habari yake
🤣🤣 Watumishi nchi nzima hawajajaza PEPMIS?Mkiambiwa jazeni PEPMIS mnakuwa wabishi.
Tulia NMB done, sisi ni watoto wa kambo siku zote....mida mibovu utasomaaisee nakufa mbona kimya
Kuna watu wanapiga mserereko?Naona atm za NMB zimeanza kuchangamka maisha ya watumishi ni changamoto sana poleni sana Mungu aendelee kuwatunza
NMB kwangu tayariSisi wengine tuendelee kuomba mungu