Mkuu nimeipata. Ulisema kweli kua unawezaipata kabla ya muda tajwa. Niliambiwa naipata after 6 week ila nimeipata after 3 weeks.Wapo watu kwa vipindi tofauti wamezipata kwa mda mfupi tu tena bila ya mnazoita connection
Hongera sana mkuu, natumai sasa utaweza endelea na michakato yako iliyohitaji hati ya kusafiria kwa amani.Mkuu nimeipata. Ulisema kweli kua unawezaipata kabla ya muda tajwa. Niliambiwa naipata after 6 week ila nimeipata after 3 weeks.
Mungu mwema sijapata usumbufu wowoteView attachment 1999572
Hongera mkuu, kama hautojali naomba u share hatua kwa hatua ulizopitia mpaka ukaipata ili iwe faida kwa wengine. Nami pia nina mpango wa kuanza kuomba hivi karibun.Habari
Nimefanikiwa kuipata within 3Weeks out of 4-6
Asante nimeona, kwenye uthibitisho wa safari ulitumia njia gan?Angalia maelezo hapo kwenye post #1 yapo sahihi kwa 95%
Tumia barua ya serikali za mtaa. Usiutumie Invitation letter. Vizuri zaidi nenda kwa watu wakujazie usijaze mwenyewe au kujaziwa pale migration.Asante nimeona, kwenye uthibitisho wa safari ulitumia njia gan?
Asante. Kama hautojali naomba u share sample ya barua ya maombi ya passportTumia barua ya serikali za mtaa. Usiutumie Invitation letter. Vizuri zaidi nenda kwa watu wakujazie usijaze mwenyewe au kujaziwa pale migration.
Ghalama ya kujaziwa nilitumia 7K. Ila nadhani haizifi 10K
Hongera sana mkuu.Hatimae nami nmepata passport baada ya kusubiri takriban week 4 bila kuwa na usumbufu wowote. Nashauri kama unapango wa kusafiri apo baadae ni vyema ukaomba mapema kuepusha rushwa zilizokuwa na ulazima.
Passport ni haki ya kila mtanzania.View attachment 2061989
Gharama kiasi Gani,process ikojeHatimae nami nmepata passport baada ya kusubiri takriban week 4 bila kuwa na usumbufu wowote. Nashauri kama unapango wa kusafiri apo baadae ni vyema ukaomba mapema kuepusha rushwa zilizokuwa na ulazima.
Passport ni haki ya kila mtanzania.View attachment 2061989
Gharama ni 150k tu, unalipia kwanza 20k kupata form online kisha unamalizia 130k. Process zake zipo hapo juu ukizifuata hzo utafanikiwa kwa 99%Gharama kiasi Gani,process ikoje
Inategemea mkuu kama unavigezo vyote unapata mana hawaangali sura bali vigezo kama umetimiza, cha muhimu unatakiwa kuomba mapemaMi bila rushwa najuwa siwezi kupata sisi tuliochanganya blood tunasumbuliwa sana.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Asante mkuu, ngoja tujiandae kuruka majuuHongera sana mkuu.
Siku hizi hakuna rushwa wala nini, document ziwe zimekamilika tu, na pale kwenye desk jibu maswali yao vizuri ndani ya wiki moja unapata pasi yako, sisi tulipeleka doc tare 22 Dec, tarehe 24 tukapigiwa simu passport iko tayariMi bila rushwa najuwa siwezi kupata sisi tuliochanganya blood tunasumbuliwa sana.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuu👋👋Hatimae nami nmepata passport baada ya kusubiri takriban week 4 bila kuwa na usumbufu wowote. Nashauri kama unapango wa kusafiri apo baadae ni vyema ukaomba mapema kuepusha rushwa zilizokuwa na ulazima.
Passport ni haki ya kila mtanzania.View attachment 2061989