Msaada: Nimepotelewa na Passport(Hati ya kusafiria)

Jebel

JF-Expert Member
Jul 10, 2021
306
2,041
Ndugu zangu wanafamilia ya JF,

Kama kichwa kinavyotanabahi, mwenzenu naombeni msaada kwa yeyote atakayepata taarifa za passport yangu anaisaidie sana.

Passport imepotea mnamo tarehe 12/06 maeneno ya Ubungo.

Taarifa zifuatazo zipo kwenye passport yangu.

-Ni iPassort rangi ya blue
-Passport number: TAE401424
-Imebandikwa visa ya Dubai
-Imetolewa Tr 29April 2021
-Inaisha mda wake 28April 2031
-Ina tarehe ya kuzaliwa ya kwangu 07Nov 1989.

Sijaweka majina yangu shauri ya privacy hata hivyo naamini taarifa hizo zinatosha kwa yeyote atakayepata taarifa za Passport hiyo.

NB: kwa yeyote atayeipata kuna zawadi ya hadi TSH 50,000/=

Mungu atubariki, natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom