mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,471
- 14,507
Niambie mrembo wa kinyak.Jaribu kufanya na Mambo ya jadi mzee
Nimeipenda comment yako
Niambie mrembo wa kinyak.Jaribu kufanya na Mambo ya jadi mzee
Sasa kwa mfano wakiondoka halafu ukiizima hiyo taa si watarudi tena?ingekuwa ni mimi ningewapiga ile ya pilipili wangeisoma nambaNi taa tu kama mbili hivi alafu ziwake muda wote inatosha kuwakimbiza.
Mimi sio mnyaki mzee hata Sina vinasaba kabisa vya south highland of TanzaniaNiambie mrembo wa kinyak.
Nimeipenda comment yako
wewe ni mtu wa wapi mrembo?Mimi sio mnyaki mzee hata Sina vinasaba kabisa vya south highland of Tanzania
[emoji23][emoji23][emoji23]Siri yanguwewe ni mtu wa wapi mrembo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Siri yangu
Hahaaa Siri za jeshi huwa hazitoki ujuenjoo pm uniambie itakuwa siri yetu[emoji3][emoji3]
Hahaaa Siri za jeshi huwa hazitoki ujue
Nothing[emoji3][emoji3][emoji3]haya bhana ww nibanie tu
SomethingNothing
Kulingana na madhara yake kwenye dari huwezi kusema hiyo dawa ni ghali. TUJULISHE MKUU INAPATIKANA WAPI NA NI JINSI GANI YA KUIWEKA.mkuu dawa ipo ila ni bei 150000 hawarudi nimefanya sana hii kazi
TUNASUBIRI MREJESHO MKUU. HAWA WADUDU NI WACHAVUZI SANANashukuru kwa ushauri,nimeanza kufanyia kazi. Nitaleta mrejesho
Hiyo namba 8 inanihusu. Usiku utawaona wanazurura tu kuuzunguka huo mtiHilo la udi na ubani nimewahi kusikia pia na hata la taa lifanyie kazi. Kuna sehemu niliona watu wanajadili facebook ngoja nikaokote nondo nikuwekee hapa uzifanyie kazi. Pia kuna watu wanashauri usage pilipili na kumwaga unga wake wanapoishi. Nasikia ukiwaingia machoni hawaponi
Nimepitia sehemu walikuwa wanajadili na maoni ni kama ifuatavyo:
1. ziba njia zote wanazoingilia popo kisha changanya grisi na ugoro paka sehemu zote wanapenda kukaa
2. Chukua magunzi ya mahindi yachome ule moshi wake utawasambaratisha wote
3. Funga taa za LED mbili tu darini wataondoka wote
4. Washa pilipili kavu kwenye jiko weka darini. Wakitoka paka grisi walipotokea utawaona
5. Nunua kiatirifu yaani sumu iitwayo LAVA kichupa kidogo cc100 changanya yote kwa lita 5 za maji kisha spray darini
6. Chukua mafuta ya taa lita moja tafuta pakti tano za sabuni ya omo halafu changanya na maji lita ishini kisha mwaga walipo popo wataondoka milele hawatarudi
7.Nunua steel wire ziweke sehemu wanazoingilia na wanapolala watakimbia utawaona tena
8. Kuna miti inatoa matunda madogo madogo mekundu yanapendwa sana na popo kama ipo karibu na kwako hawatahama kamwe
9. Weka sub woofer darini fungulia mpaka mwisho watakimbia maana hawapendi kelele
10. Ugoro. Koroga ugoro mwaga darini utanishukuru baadae
Nimechukua maoni kumi bora nadhani ukiyatumia haya utatuletea mrejesho pia usisahau kunipa fungu la kumi (10%)
Hakika wataondoka tu, akishindwa kabisa apige maombi watakuwa wakichawi hao!Atafte njia mubadala
Kama umenisoma vizuri nimesema "IWAKE MUDA WOTE"Sasa kwa mfano wakiondoka halafu ukiizima hiyo taa si watarudi tena?ingekuwa ni mimi ningewapiga ile ya pilipili wangeisoma namba
Zingatia ushauri huu! Watahama mara moja!Tafuta paa la transparent (pieces chache) utumie kuezeka maeneo kadhaa ili kuruhusu mwanga uingie darini, watahama wote.
China hakuna kitu wameacha mzeeHivi popo huwa hawaliwi?
Ogopa wasiomalizia maelekezoniambie aina ya dawa,wapi inapatikana.