Msaada tafadhali: Popo wamehamia kwenye nyumba yangu

Kero ya popo siyo kelele pekee ,mizoga yao ina harufu mbaya sana
 
Pole Mkuu. Popo Ni mdudu hatari sana, analeta ugonjwa hatari wa rabies pale unapoumwa nao. Hufai kukaa hiyo Nyumba Hadi upate solution ya kuwaondoa kabisa.

Wataalamu wanasema ukiona umekaa Nyumba na ukagundua Kuna popo nenda haraka hospital ukapewe chanjo ya rabies sababu anaweza kukuuma Usingizi bila wewe kujua.

Na hata huyo aliyepanda darini akaumwa nao ilibidi aende hospital akapate chanjo Kama ambavyo mtu aliyeumwa na mmbwa anavyopatiwaga chanjo.

Kila la kheri kwenye kupata suluhu yao
 
Hafu Mimi nyumba yenye popo sikai maana Ni viumbe vinatisha Sana ka vishetani vile na SAUTi zao, kata vichaka vyote weka taa za kutosha Sana, wakigoma kuondoka ujue Kuna walakini
 
Kumbe ni hatari Sana Hawa wadudu naskia eti hufyonza damu, ka uking'atwa mpaka upate chanjo ya rabies basi Ni hatari.
 
Ni taa tu kama mbili hivi alafu ziwake muda wote inatosha kuwakimbiza.
 
Pole Mkuu. Popo Ni mdudu hatari sana, analeta ugonjwa hatari wa rabies pale unapoumwa nao. Hufai kukaa hiyo Nyumba Hadi upate solution ya kuwaondoa kabisa.

Wataalamu wanasema ukiona umekaa Nyumba na ukagundua Kuna popo nenda haraka hospital ukapewe chanjo ya rabies sababu anaweza kukuuma Usingizi bila wewe kujua.

Na hata huyo aliyepanda darini akaumwa nao ilibidi aende hospital akapate chanjo Kama ambavyo mtu aliyeumwa na mmbwa anavyopatiwaga chanjo.

Kila la kheri kwenye kupata suluhu yao
Hii sikupata kulijua hapo mwanzo. Asante kwa mchango wako
 
Hafu Mimi nyumba yenye popo sikai maana Ni viumbe vinatisha Sana ka vishetani vile na SAUTi zao, kata vichaka vyote weka taa za kutosha Sana, wakigoma kuondoka ujue Kuna walakini
Wakigoma kuhama ahame yeye!
 
Ata hilo unaomba msaada JF!! ngoja wakusikie mabeberu..
 
Hilo la udi na ubani nimewahi kusikia pia na hata la taa lifanyie kazi. Kuna sehemu niliona watu wanajadili facebook ngoja nikaokote nondo nikuwekee hapa uzifanyie kazi. Pia kuna watu wanashauri usage pilipili na kumwaga unga wake wanapoishi. Nasikia ukiwaingia machoni hawaponi

Nimepitia sehemu walikuwa wanajadili na maoni ni kama ifuatavyo:
1. ziba njia zote wanazoingilia popo kisha changanya grisi na ugoro paka sehemu zote wanapenda kukaa
2. Chukua magunzi ya mahindi yachome ule moshi wake utawasambaratisha wote
3. Funga taa za LED mbili tu darini wataondoka wote
4. Washa pilipili kavu kwenye jiko weka darini. Wakitoka paka grisi walipotokea utawaona
5. Nunua kiatirifu yaani sumu iitwayo LAVA kichupa kidogo cc100 changanya yote kwa lita 5 za maji kisha spray darini
6. Chukua mafuta ya taa lita moja tafuta pakti tano za sabuni ya omo halafu changanya na maji lita ishini kisha mwaga walipo popo wataondoka milele hawatarudi
7.Nunua steel wire ziweke sehemu wanazoingilia na wanapolala watakimbia utawaona tena
8. Kuna miti inatoa matunda madogo madogo mekundu yanapendwa sana na popo kama ipo karibu na kwako hawatahama kamwe
9. Weka sub woofer darini fungulia mpaka mwisho watakimbia maana hawapendi kelele
10. Ugoro. Koroga ugoro mwaga darini utanishukuru baadae

Nimechukua maoni kumi bora nadhani ukiyatumia haya utatuletea mrejesho pia usisahau kunipa fungu la kumi (10%)
Imekaa vizuri na mim unenisaidia Sana
 
Hiyo mbinu namba 9 imenichekesha sana.
Maana hilo vibe lake hadi litaamsha majirani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom