Msaada tafadhali: Popo wamehamia kwenye nyumba yangu

Angalia sehemu wanapoingilia jioni wakitoka Ziba hizo sehemu na steal wire,zile za kusugulia sufuria hawarudi. Hua zinawajeruhi hawakai
 
Hilo la udi na ubani nimewahi kusikia pia na hata la taa lifanyie kazi. Kuna sehemu niliona watu wanajadili facebook ngoja nikaokote nondo nikuwekee hapa uzifanyie kazi. Pia kuna watu wanashauri usage pilipili na kumwaga unga wake wanapoishi. Nasikia ukiwaingia machoni hawaponi

Nimepitia sehemu walikuwa wanajadili na maoni ni kama ifuatavyo:
1. ziba njia zote wanazoingilia popo kisha changanya grisi na ugoro paka sehemu zote wanapenda kukaa
2. Chukua magunzi ya mahindi yachome ule moshi wake utawasambaratisha wote
3. Funga taa za LED mbili tu darini wataondoka wote
4. Washa pilipili kavu kwenye jiko weka darini. Wakitoka paka grisi walipotokea utawaona
5. Nunua kiatirifu yaani sumu iitwayo LAVA kichupa kidogo cc100 changanya yote kwa lita 5 za maji kisha spray darini
6. Chukua mafuta ya taa lita moja tafuta pakti tano za sabuni ya omo halafu changanya na maji lita ishini kisha mwaga walipo popo wataondoka milele hawatarudi
7.Nunua steel wire ziweke sehemu wanazoingilia na wanapolala watakimbia utawaona tena
8. Kuna miti inatoa matunda madogo madogo mekundu yanapendwa sana na popo kama ipo karibu na kwako hawatahama kamwe
9. Weka sub woofer darini fungulia mpaka mwisho watakimbia maana hawapendi kelele
10. Ugoro. Koroga ugoro mwaga darini utanishukuru baadae

Nimechukua maoni kumi bora nadhani ukiyatumia haya utatuletea mrejesho pia usisahau kunipa fungu la kumi (10%)
 
Nadhani namba 4 ni rahisi zaidi, awashe jiko la mkaa then achome pilipili nyingi kwa wakati mmoja.

Moshi wa pilipili hata mwanadamu huwezi kuuvumilia.
 
Hilo la udi na ubani nimewahi kusikia pia na hata la taa lifanyie kazi. Kuna sehemu niliona watu wanajadili facebook ngoja nikaokote nondo nikuwekee hapa uzifanyie kazi. Pia kuna watu wanashauri usage pilipili na kumwaga unga wake wanapoishi. Nasikia ukiwaingia machoni hawaponi

Nimepitia sehemu walikuwa wanajadili na maoni ni kama ifuatavyo:
1. ziba njia zote wanazoingilia popo kisha changanya grisi na ugoro paka sehemu zote wanapenda kukaa
2. Chukua magunzi ya mahindi yachome ule moshi wake utawasambaratisha wote
3. Funga taa za LED mbili tu darini wataondoka wote
4. Washa pilipili kavu kwenye jiko weka darini. Wakitoka paka grisi walipotokea utawaona
5. Nunua kiatirifu yaani sumu iitwayo LAVA kichupa kidogo cc100 changanya yote kwa lita 5 za maji kisha spray darini
6. Chukua mafuta ya taa lita moja tafuta pakti tano za sabuni ya omo halafu changanya na maji lita ishini kisha mwaga walipo popo wataondoka milele hawatarudi
7.Nunua steel wire ziweke sehemu wanazoingilia na wanapolala watakimbia utawaona tena
8. Kuna miti inatoa matunda madogo madogo mekundu yanapendwa sana na popo kama ipo karibu na kwako hawatahama kamwe
9. Weka sub woofer darini fungulia mpaka mwisho watakimbia maana hawapendi kelele
10. Ugoro. Koroga ugoro mwaga darini utanishukuru baadae

Nimechukua maoni kumi bora nadhani ukiyatumia haya utatuletea mrejesho pia usisahau kunipa fungu la kumi (10%)
ahsante,nitajaribu baadhi. Nimeanza na taa. Wako wengi,nafikiri >300, saa zao za kutoka imekaribia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom