I'm not trying to be women's hero ila wanaume wengi hatupo genuine hapa kwenye michango yetu. Tuna double standards in short.
Najaribu kufikiria the same situation angekuwa amefanyiwa mwanamume na akawasilisha hapa, most of us would curse women. Kuna uzi jamaa ameanzisha juzi sjui kagongewa mke na mtu ambae alisha muonya asiwasiliane na mkewe ila mwisho wa siku mkewe kamegwa na jamaa kaja kuomba ushauri amfanye nini mwizi wake, wanaume wamefunguka sana kule.
In my opinion,Usaliti ni usaliti tu, life's so short na kwa kipindi hiki kifupi tunachoishi let's live as real as possible, maisha ya kuumizana na kusalitiana sio sawa,ni bora kuyaepuka kwa nguvu zote.
Sent using
Jamii Forums mobile app