beevenom
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 313
- 433
Ameen mama mchungaji! Tena usisahau sala ya toba kabisa. [emoji41][emoji41][emoji41]Mungu wetu tunawaombea hawa wanaume uwajalie uponyaji ili hio mikengele yao isiwape shida kabisa. Wapate kufurahia mikengele yao na si kupata tabu na mateso ambazo zinatuumiza na sisi. Tunaomba na kushukuru, tukiamini shida zitaisha!!
Sent using Jamii Forums mobile app