Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu

Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu

Umeumia jamaa kupigia show kwenye kitanda chako.

Pole

Sent using simu mbovu
 
Basi nitafanya maombi katika sehemu mbili:
1. Kuombea Mikengele isilete shida kwa wanaume
2. Kuombea wanawake wakubaliane na matokeo pale ambapo Mikengele italeta shida.
Kwenye issue ya mikengele yetu hii sijui maana kuna watu walifunga jangwani kabisa kwa siku 20 bado haikuzaa matunda. Tatizo ukiwa unaomba mambo yanakuwa safi na ukigeuka tu ukamwona Mwajuma ndala ndefu filimbi inapulizwa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kuwa unamadhaifu ww jikubali kwanza kabla ya yote !!ili urekebishe mapema kuchukia au kukasirika hakuwezi kusaidia kwa lolote

sent from toyota Allex
 
Umeshajua kuwa unayeenda kuolewa nae ni malaya, kazi kwako. Uamue mwenyewe kama unaenda kufunga pingu za maisha na jitu malaya au la.
Hata hivyo huyo dada hakudanganywa, ni kweli hana mke kwani mmeoana? Halafu unasema nyumbani kwako ina maana huyo jamaa anaishi nyumbani kwako na bado anaingiza wanawake? Huyo ni kiboko aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada weka kautulivu kidogo tu utapata uelekeo mzuri tu. Kuchagua samaki mmoja katika bahari sio kazi ndogo. Wanaume tuna kazi ngumu mno katika hili,kaacha wengi na huyo aliyetuma sms ni mmoja tu kati ya waliokuwa katika bahari.

Hebu jipige kifuani jiambie mimi ndo mchaguliwa na mliwa wa milele. Nikwambie ukweli ukijivuruga hapo jamaa hana cha kupoteza kwa sababu ana akiba ya kutosha kabisa,atavua samaki mwingine na wewe ulianziwa process ya kutolewa magamba utatupwa baharini ukapambane na wenzio.
Kikubwa ungea nae kiupole kwa hekima na busara na si kumsimanga sana utakuwa unaharibu mchezo mzima.

Kikubwa zaidi nikupe kasiri kadogo dada angu" ukipewa uume na kuwa mwanaume japo kwa wiki moja tu utaona tunavyopata shida na hii mikengere yetu". Mtuombee tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo paragraph ya mwisho umemaliza kila kitu[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwel wanaume asili yao kuchepuka Ila Mimi kinachoniumiza sana kumleta huku ndani ninakoishi naye yani kila nikiona hiki kitanda maumivu yanaanza moja

Sent using Jamii Forums mobile app

Kawaida sana bibie,
Kila mwanaume yupo hivyo, huyo sio Wa kwanza.

Tena namuona afadhali huyo, mimi nafanya zaidi ya hayo.

Afrika hakuna mapenzi, kuna kuona tu.
 
What some women put up to be called mrs somebody.

Mwanaume hawezi kusamehe usaliti hata siku moja. Utajua nwenyewe unyoe au usuke. Ila juc know once a cheater always a cheater. Hata akikuoa hatoacha bali ndo atazidisha.

Personally siwezi kuolewa na cheater. Ninywe ARV kisa pete ya ndoa. Hapana kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app

Unamshaurije mwenzio?
 
Back
Top Bottom