Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu

Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu

Kwasababu Mungu anatambua upendo wako wa dhati moyoni mwako anaamua amfunue huyo ambae umempa moyo wako ili umfahamu tabia zake na mwisho uamue mwenyewe kusuka au kunyoa.

Ikiwa ameanza hivyo bado ni wachumba mkiingia kwenye ndoa itakuwaje ask yourself

Ikiwa hata umemuuliza amekataa ask yourself siku si utaketewa watoto wake na atakataa anakuona zoba? Ask yourself.

Ninalo suruhisho but siwezi sema hapa.
Uwe na moyo mkuu omba sana
[/QUOTENi kweli wakati mwingine Mungu huruuhusu Jambo litokee ili tuweze kuwafahamu wenza wetu Tabia halisi walizonazo... Hii hata kwa marafiki Hutokea... But Daah!!!!haya mambo ya mahusiano yamekuwa changamoto kubwa sana!!! Mi nadhani Bidada Mtafute sana Mungu coz upo njia panda... Kubaki pagumu kusonga mbele pagumu....
 
Dada weka kautulivu kidogo tu utapata uelekeo mzuri tu. Kuchagua samaki mmoja katika bahari sio kazi ndogo. Wanaume tuna kazi ngumu mno katika hili,kaacha wengi na huyo aliyetuma sms ni mmoja tu kati ya waliokuwa katika bahari.

Hebu jipige kifuani jiambie mimi ndo mchaguliwa na mliwa wa milele. Nikwambie ukweli ukijivuruga hapo jamaa hana cha kupoteza kwa sababu ana akiba ya kutosha kabisa,atavua samaki mwingine na wewe ulianziwa process ya kutolewa magamba utatupwa baharini ukapambane na wenzio.
Kikubwa ungea nae kiupole kwa hekima na busara na si kumsimanga sana utakuwa unaharibu mchezo mzima.

Kikubwa zaidi nikupe kasiri kadogo dada angu" ukipewa uume na kuwa mwanaume japo kwa wiki moja tu utaona tunavyopata shida na hii mikengere yetu". Mtuombee tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaaa! Umetisha sana mkuu. Mikengere yetu. Umetoa ushauri mzuri sna akizingatia atasonga mbele.
 
I doubt you know what you are talking about. Opps sorry may be you are too young for this discussion.!

There is a huge difference kati ya kusalitiwa na mke na kusalitiwa na mume from each and every angle.

And this is a topic on it's own man!
As I said earlier, most of men here (including you ) have double standard. The point here isn't about being young or old,lady or gentleman ila ni kujaribu kujibu swali “Is cheating ever okay?”.
There are opinions and point of views in life kulingana na experience aliyopitia mtu kwenye mahusiano na hii inanifanya nisikupinge, you might be right in your own perspective but that will never justify cheating and infidelity in marriage.
From the very nature inaonekana cheating by man is okay due to chauvinism ,but as for me I always agree with Utilitarianism ethics over Deontology. Let the rightness or wrongness of an action be judged based on the consequences, not on its nature. Madhara ya cheating yapo open kabisa regardless ni man/woman aliye cheat, sema shida wanawake huwa wanaongezea na dharau juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia mazuri yake kisha yatumie kama chachu ya kuendelea nae. Naamini ana mazuri mengi ndio maana mmedumu muda wote huo.

Tafuta njia nzuri ya kurekebisha hilo lililotokea maana ukiliacha kuna maradhi pia.
 
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu, naombeni ushauri wenu katika hili maana hata sielewi nini cha kufanya Nina mpenz Wang nmeishi naye kwa miaka 4 sasa na mwezi wa 2 mwaka huu amepanga kupeleka mahari kwetu ili tufunge ndoa na nyumbani nimeshawapa taarifa kuwa kutakuwa na ugeni.

Cha kushangaza juzi usiku tumelala imeingia text kwenye cm yake ya mdada anamlalamikia kuwa yupo bize sana amemsusa hamjali Kama mwanzo kiufupi ilikuwa inamalalamiko kibao na ilionesha kuwa ni wapenzi.

Kwa usiku huo sikutaka kumwambia mpenzi wangu chochote nilichukua no za yule dada asubui nikampigia nikajitambulisha kuwa nimekuta text yake kwenye cm ya mme Wang kiukwel yule dada alishtuka akanambia kuwa mpenz Wangu alimtongoza na alimwambia hana mke na alikuwa anamleta hadi nyumban tunapoishi coz mm kuna kipindi nilisafiri mwezi mmoja.

Ila baada ya mda niliporud akawa anaenda naye gest kila akimwambia twende kwako akawa anamzungusha anamwambia kule kwangu Kuna mafundi wanapaka rangi kutakuwa na usumbufu, kiukweli niliumia sana sikuamini ninachokisikia nikamuuliza Kama ni kweli ameshakuleta hadi nyumbani ndani pakoje maana nilihisi labda ananidanganya coz sikuamin.

Kama mwanaume Wangu anaweza kuleta mwanamke mwingne kwenye kitanda ninacholala nae mm kiukweli huyu dada alinitajia kila kitu kilichopo ndani hadi rangi za mashuka sikuamini bdo nikamwambia njo kwangu akaja alipoingia ndani nikamuuliza ulivyoambiwa hana mke inamana hukuona vtu vyang vya kike humu ndani akanambia hii mikoba kwenye enga haikuwepo na viatu vyako kwenye stend sikuvikuta kwa maana hiyo inaonesha alivitoa akanambia pia na kabati la nguo alikuwa akijaribu kufungua lilikuwa limefungwa na funguo.

Baada ya hapo nilijarbu kuongea na mpenz Wangu akakataa kabisa kuwa hajafanya hivyo ila baada ya kumbana sana akakubali akaniomba msamaha sikumjibu hata Kama nimemsamehe nilimwambia kwa ulichonifanyia umeniumiza sana nitakufikiria toka hapo na maumivu makali sana kichwa kinaniuma sana sipati hata usingizi nimepoteza hisia naye kimapenzi nipo nae Ila Niko njia panda sielewi nifanyaje na nyumbani kwetu wanajua Kuna ugeni unaenda mwez wa 2 hapa sijui niachane naye au niendelee nae naombeni mnisaidie kuhusu ili jambo linaniumiza sana nahisi kuchanganyikiwa na mda alionipotezea

Sent using Jamii Forums mobile app
Bi dada acha kujichanganya..hivi huoni mumeo mtarajiwa anakupenda wewe..? Mchepuko kautosa because he loves u...sasa mboni unataka kumuangusha? Komaa na ndoa yako..kama unataka kuolewa na malaika nenda mbinguni..duniani wote wanamapungufu..cha msingi ameonyesha kukutaka wewe...shukuru....!
 
Tatizo lenu mnafukunyua mambo sana...[emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa mnatafuta sababu za kulia tu, tuonekane wabaya.
 
Tayari huku
Umeshajua kuwa unayeenda kuolewa nae ni malaya, kazi kwako. Uamue mwenyewe kama unaenda kufunga pingu za maisha na jitu malaya au la.
Hata hivyo huyo dada hakudanganywa, ni kweli hana mke kwani mmeoana? Halafu unasema nyumbani kwako ina maana huyo jamaa anaishi nyumbani kwako na bado anaingiza wanawake? Huyo ni kiboko aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari huku
Binamu nilitoa ushauri before reading this thread [emoji1][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3]kwenye ile anamlalamikia mmewe loohh!kumbe nilikua sahihi 100% Dada kafosi ndoa simcheki lakini [emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]yamemkuta tayari!kiuhalisia mwanaume ambae hajazoea kuchepuka hawezi chepuka ndani ya miezi 6 ya ndoa!!!
Alikua analijua vzr jini lake kaamua ahangaike nalo sasa hivi analalamika nini sasa
 
Back
Top Bottom