Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu

Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu

Ukilegeza tu, huyo shoga anaogelea naye na kuwa mke wake.
Mwanaume wengi kabla hujawa mke wake rasmi hizo rafu zipo sana geto. Cha msingi uwe very serious mnavyoelekea kwenye ndoa ili unone commitment yake kwako
 
Duh.. Pagumu hapooo.... Pole sanaaa.
 
Thank you sis. Baadaye asije akaanza kujiliza ooh mume wangu malaya while ukweli ameshaujua mapemaaa.

Nashangaa watu kumtia ujinga eti hata kama ana wengine; wewe ndo kakuchagua. So it's right to be disrespected kwa sababu tu hajachagua hao wengine? Ndo haya mambo unaishia kuwa bibi harusi, mke mwingineee; wewe unabaki na pete na cheti cha ndoa.
Umeshajua kuwa unayeenda kuolewa nae ni malaya, kazi kwako. Uamue mwenyewe kama unaenda kufunga pingu za maisha na jitu malaya au la.
Hata hivyo huyo dada hakudanganywa, ni kweli hana mke kwani mmeoana? Halafu unasema nyumbani kwako ina maana huyo jamaa anaishi nyumbani kwako na bado anaingiza wanawake? Huyo ni kiboko aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo mengi ndoani hayaji from nowhere bali dalili huonekana mapemaa na kupuuzia hizi dalili ndiko hufikisha ndoa ziwe ndoano.
Uchumba unauona Wa mashaka still unajipa moyo tu ili mradi uingie ndoani.

Yusufu mwenyewe mbali na kuwa mcha Mungu alitatizika sana alipogundua Mariam mjamzito na akaazimia moyoni kumuacha kisiri, lakini hapa wanaume watetea ufirauni wanatetea huu ujinga kwa kigezo cha nobody is perfect and ukimuacha utakutana na monster zaidi ya huyo.
Good men are out there waiting for their perfect combo tunacheleweshana tu!
Umeshajua kuwa unayeenda kuolewa nae ni malaya, kazi kwako. Uamue mwenyewe kama unaenda kufunga pingu za maisha na jitu malaya au la.
Hata hivyo huyo dada hakudanganywa, ni kweli hana mke kwani mmeoana? Halafu unasema nyumbani kwako ina maana huyo jamaa anaishi nyumbani kwako na bado anaingiza wanawake? Huyo ni kiboko aisee

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye issue ya mikengele yetu hii sijui maana kuna watu walifunga jangwani kabisa kwa siku 20 bado haikuzaa matunda. Tatizo ukiwa unaomba mambo yanakuwa safi na ukigeuka tu ukamwona Mwajuma ndala ndefu filimbi inapulizwa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂
Tutakemea na hilo pepo la kugeuka lishindwe!
 
Dada zangu mnakwama wap! Hyo siyo sababu yakuachna na mmeo ili hali kinachotakiwa kuwa mpole ongea naye muonyeshe unampenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Mumewe au mchumba?
Hebu vaa kiatu chake uone?

Uchumba ukiwa hauna afya kuuvunja si dhambi, sasa kwenye uchumba tu majanga itakuwaje ndoani?
Ajipange
Good men wako wengi kitaa wanatafuta wake wema ila monster's wanajimilikisha good ladies wazidi kuwa ruin wajinufaishe nafsi zao binafsi plus egoism yao.
Wake up ladies wasilee upuuzi huu eti all people are not perfect..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miss chuga,
the world is not fair but hata kama ukiolewa naye hutakaa kwa amani na mtu ukiwa naye akisha fanya jambo la ajabu hutakaa kusahau ila tuu utaacha lipite if i was you i would let that nigga go and have my own happy but no women thinks that one their succes is to et married thats fuckved up and tahts why it puts you in situation of no choice look here mom life is too short to put up with some bullshit which will stay in your mind forever
 
Back
Top Bottom