Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu

Ni kwel wanaume asili yao kuchepuka Ila Mimi kinachoniumiza sana kumleta huku ndani ninakoishi naye yani kila nikiona hiki kitanda maumivu yanaanza moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama shida ni kitanda kipige bei ununue kingine kizuuuuuri, mumeo huyo kule alionja tu(ila ingekuwa mimi tungecheza muziki mnene hii issue haiishi kitakatifu😁)
 
Pole sana dada. Nakushauri tuliza akili na usipanic sana. Soma ushauri wa watu wengine lakini jua kuwa wewe ndiyo muamuz wa mwisho katika jambo hili. Wewe ndiyo unayeenda kuolewa na ndiye unayeenda kuishi na huyo mwanaume. Wewe ndiye unayejua tabia yake na umemvumilia kwa kiasi gani na uelewa wake upoje. Na ndiyo mchaguaji uende wapi, umsamehe au lah. Hakika Mwenyezi Mungu atakuongoza katika hili. Najua inauma sn ila kuongea huwa ni rahisi sana tunaona. Lakini likikupata hautakuwa na furaha. Pole sana.
 
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu, naombeni ushauri wenu katika hili maana hata sielewi nini cha kufanya Nina mpenz Wang nmeishi naye kwa miaka 4 sasa na mwezi wa 2 mwaka huu amepanga kupeleka mahari kwetu ili tufunge ndoa na nyumbani nimeshawapa taarifa kuwa kutakuwa na ugeni cha kushangaza juzi usiku tumelala imeingia text kwenye cm yake ya mdada anamlalamikia kuwa yupo bize sana amemsusa hamjali Kama mwanzo kiufupi ilikuwa inamalalamiko kibao na ilionesha kuwa ni wapenzi kwa usiku huo sikutaka kumwambia mpenzi wangu chochote nilichukua no za yule dada asubui nikampigia nikajitambulisha kuwa nimekuta text yake kwenye cm ya mme Wang kiukwel yule dada alishtuka akanambia kuwa mpenz Wangu alimtongoza na alimwambia hana mke na alikuwa anamleta hadi nyumban tunapoishi coz mm kuna kipindi nilisafiri mwezi mmoja Ila baada ya mda niliporud akawa anaenda naye gest kila akimwambia twende kwako akawa anamzungusha anamwambia kule kwangu Kuna mafundi wanapaka rangi kutakuwa na usumbufu, kiukweli niliumia sana sikuamini ninachokisikia nikamuuliza Kama ni kweli ameshakuleta hadi nyumbani ndani pakoje maana nilihisi labda ananidanganya coz sikuamin Kama mwanaume Wangu anaweza kuleta mwanamke mwingne kwenye kitanda ninacholala nae mm kiukweli huyu dada alinitajia kila kitu kilichopo ndani hadi rangi za mashuka sikuamini bdo nikamwambia njo kwangu akaja alipoingia ndani nikamuuliza ulivyoambiwa hana mke inamana hukuona vtu vyang vya kike humu ndani akanambia hii mikoba kwenye enga haikuwepo na viatu vyako kwenye stend sikuvikuta kwa maana hiyo inaonesha alivitoa akanambia pia na kabati la nguo alikuwa akijaribu kufungua lilikuwa limefungwa na funguo. Baada ya hapo nilijarbu kuongea na mpenz Wangu akakataa kabisa kuwa hajafanya hivyo ila baada ya kumbana sana akakubali akaniomba msamaha sikumjibu hata Kama nimemsamehe nilimwambia kwa ulichonifanyia umeniumiza sana nitakufikiria toka hapo na maumivu makali sana kichwa kinaniuma sana sipati hata usingizi nimepoteza hisia naye kimapenzi nipo nae Ila Niko njia panda sielewi nifanyaje na nyumbani kwetu wanajua Kuna ugeni unaenda mwez wa 2 hapa sijui niachane naye au niendelee nae naombeni mnisaidie kuhusu ili jambo linaniumiza sana nahisi kuchanganyikiwa na mda alionipotezea

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwasababu Mungu anatambua upendo wako wa dhati moyoni mwako anaamua amfunue huyo ambae umempa moyo wako ili umfahamu tabia zake na mwisho uamue mwenyewe kusuka au kunyoa.

Ikiwa ameanza hivyo bado ni wachumba mkiingia kwenye ndoa itakuwaje ask yourself

Ikiwa hata umemuuliza amekataa ask yourself siku si utaketewa watoto wake na atakataa anakuona zoba? Ask yourself.

Ninalo suruhisho but siwezi sema hapa.
Uwe na moyo mkuu omba sana
 
Sasa sababu za kupaniki ni nini? Hivi nyie wasichana ni lini mtakuja kuamini mwanaume ni jasiri asiyeacha asili take? Asili ya mwanaume ni kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja.
😢
Babu kupaniki ni lazima jamani. Sio rahisi kukubaliana na ukweli kua mpenzi wako ana mwanamke mwingine. Yaani baadhi yetu tukidondoka tunadondoka mazimaaa, sasa ukijua uliyemdondokea, kadondokea kwa mwingine, inauma aisee!!
 
Ukishayajua hayo basi unaacha tabia ya uchunguzi. Hamna kitu kibaya kama kuchunguza jambo ambalo huwezi kulifanyia maamuzi. Utakufa kwa kijiba cha roho

Ukimchunguza sana bata, hutamla.
 
Kikubwa zaidi nikupe kasiri kadogo dada angu" ukipewa uume na kuwa mwanaume japo kwa wiki moja tu utaona tunavyopata shida na hii mikengere yetu". Mtuombee tu
Mungu wetu tunawaombea hawa wanaume uwajalie uponyaji ili hio mikengele yao isiwape shida kabisa. Wapate kufurahia mikengele yao na si kupata tabu na mateso ambazo zinatuumiza na sisi. Tunaomba na kushukuru, tukiamini shida zitaisha!!
 
Nakushauri upate mda wa kusaifiri kidogo yani uombe ruhusa kazini na kwa mumeo halafu uende either kijijini au mjini sehemu ya mbali.

Kaa mwezi mmoja tena. Huko jaribu kujifunza jinsi watu wanavyopata shida ambao hawana wapenzi na ambao hawajaolewa na ambao waliachika.

Baada ya hapo tafakari kuhusu maamuzi unayotaka kuchukua.
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu, naombeni ushauri wenu katika hili maana hata sielewi nini cha kufanya Nina mpenz Wang nmeishi naye kwa miaka 4 sasa na mwezi wa 2 mwaka huu amepanga kupeleka mahari kwetu ili tufunge ndoa na nyumbani nimeshawapa taarifa kuwa kutakuwa na ugeni cha kushangaza juzi usiku tumelala imeingia text kwenye cm yake ya mdada anamlalamikia kuwa yupo bize sana amemsusa hamjali Kama mwanzo kiufupi ilikuwa inamalalamiko kibao na ilionesha kuwa ni wapenzi kwa usiku huo sikutaka kumwambia mpenzi wangu chochote nilichukua no za yule dada asubui nikampigia nikajitambulisha kuwa nimekuta text yake kwenye cm ya mme Wang kiukwel yule dada alishtuka akanambia kuwa mpenz Wangu alimtongoza na alimwambia hana mke na alikuwa anamleta hadi nyumban tunapoishi coz mm kuna kipindi nilisafiri mwezi mmoja Ila baada ya mda niliporud akawa anaenda naye gest kila akimwambia twende kwako akawa anamzungusha anamwambia kule kwangu Kuna mafundi wanapaka rangi kutakuwa na usumbufu, kiukweli niliumia sana sikuamini ninachokisikia nikamuuliza Kama ni kweli ameshakuleta hadi nyumbani ndani pakoje maana nilihisi labda ananidanganya coz sikuamin Kama mwanaume Wangu anaweza kuleta mwanamke mwingne kwenye kitanda ninacholala nae mm kiukweli huyu dada alinitajia kila kitu kilichopo ndani hadi rangi za mashuka sikuamini bdo nikamwambia njo kwangu akaja alipoingia ndani nikamuuliza ulivyoambiwa hana mke inamana hukuona vtu vyang vya kike humu ndani akanambia hii mikoba kwenye enga haikuwepo na viatu vyako kwenye stend sikuvikuta kwa maana hiyo inaonesha alivitoa akanambia pia na kabati la nguo alikuwa akijaribu kufungua lilikuwa limefungwa na funguo. Baada ya hapo nilijarbu kuongea na mpenz Wangu akakataa kabisa kuwa hajafanya hivyo ila baada ya kumbana sana akakubali akaniomba msamaha sikumjibu hata Kama nimemsamehe nilimwambia kwa ulichonifanyia umeniumiza sana nitakufikiria toka hapo na maumivu makali sana kichwa kinaniuma sana sipati hata usingizi nimepoteza hisia naye kimapenzi nipo nae Ila Niko njia panda sielewi nifanyaje na nyumbani kwetu wanajua Kuna ugeni unaenda mwez wa 2 hapa sijui niachane naye au niendelee nae naombeni mnisaidie kuhusu ili jambo linaniumiza sana nahisi kuchanganyikiwa na mda alionipotezea

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishayajua hayo basi unaacha tabia ya uchunguzi. Hamna kitu kibaya kama kuchunguza jambo ambalo huwezi kulifanyia maamuzi. Utakufa kwa kijiba cha roho

Ukimchunguza sana bata, hutamla.
Sawa nimekusikia Babu ake...
 
Anayeenda kutolewa mahari ni wewe, si ndio? Kwa mantiki hiyo atakayeolewa ni wewe...

Sasa sababu za kupaniki ni nini? Hivi nyie wasichana ni lini mtakuja kuamini mwanaume ni jasiri asiyeacha asili take? Asili ya mwanaume ni kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja.

Hebu piga moyo konde endelea kula raha na huyo jabali. Maisha ni hayahaya tena mafupi sana.

Mme wako ni pale unapokuwa naye.

Babu nimemaliza narudi kitandani
Saaafi kabisa Babu wa kishua! Miaka minne akautolee mahari Leo? Huu ni uchumba wa mwendokasi aiseeee.
IMG-20200131-WA0010.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haki ya nani huyo mwanaume kiboko kaficha ushahidi wote ili aonekane single. Hahahahaa noma sana
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu, naombeni ushauri wenu katika hili maana hata sielewi nini cha kufanya Nina mpenz Wang nmeishi naye kwa miaka 4 sasa na mwezi wa 2 mwaka huu amepanga kupeleka mahari kwetu ili tufunge ndoa na nyumbani nimeshawapa taarifa kuwa kutakuwa na ugeni cha kushangaza juzi usiku tumelala imeingia text kwenye cm yake ya mdada anamlalamikia kuwa yupo bize sana amemsusa hamjali Kama mwanzo kiufupi ilikuwa inamalalamiko kibao na ilionesha kuwa ni wapenzi kwa usiku huo sikutaka kumwambia mpenzi wangu chochote nilichukua no za yule dada asubui nikampigia nikajitambulisha kuwa nimekuta text yake kwenye cm ya mme Wang kiukwel yule dada alishtuka akanambia kuwa mpenz Wangu alimtongoza na alimwambia hana mke na alikuwa anamleta hadi nyumban tunapoishi coz mm kuna kipindi nilisafiri mwezi mmoja Ila baada ya mda niliporud akawa anaenda naye gest kila akimwambia twende kwako akawa anamzungusha anamwambia kule kwangu Kuna mafundi wanapaka rangi kutakuwa na usumbufu, kiukweli niliumia sana sikuamini ninachokisikia nikamuuliza Kama ni kweli ameshakuleta hadi nyumbani ndani pakoje maana nilihisi labda ananidanganya coz sikuamin Kama mwanaume Wangu anaweza kuleta mwanamke mwingne kwenye kitanda ninacholala nae mm kiukweli huyu dada alinitajia kila kitu kilichopo ndani hadi rangi za mashuka sikuamini bdo nikamwambia njo kwangu akaja alipoingia ndani nikamuuliza ulivyoambiwa hana mke inamana hukuona vtu vyang vya kike humu ndani akanambia hii mikoba kwenye enga haikuwepo na viatu vyako kwenye stend sikuvikuta kwa maana hiyo inaonesha alivitoa akanambia pia na kabati la nguo alikuwa akijaribu kufungua lilikuwa limefungwa na funguo. Baada ya hapo nilijarbu kuongea na mpenz Wangu akakataa kabisa kuwa hajafanya hivyo ila baada ya kumbana sana akakubali akaniomba msamaha sikumjibu hata Kama nimemsamehe nilimwambia kwa ulichonifanyia umeniumiza sana nitakufikiria toka hapo na maumivu makali sana kichwa kinaniuma sana sipati hata usingizi nimepoteza hisia naye kimapenzi nipo nae Ila Niko njia panda sielewi nifanyaje na nyumbani kwetu wanajua Kuna ugeni unaenda mwez wa 2 hapa sijui niachane naye au niendelee nae naombeni mnisaidie kuhusu ili jambo linaniumiza sana nahisi kuchanganyikiwa na mda alionipotezea

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena shukuru ulikuwa ujui na umetaka kujua ila alileta uyo mmoja kuna wansume wahuni balaaa tena usikute uyo jamaa co muhuni ww ujakutana na wanaume wahuni mwanaume siku moja analala na wanawake wa 3 tofauti tofauti tena ndani kwake chumba chake yy na mkewe akiwa hayupo..

Sametimes nyny wanawake **** baadhi ya vitu muwe mnapotezea utakufa kwa stress na mawazo ukisema umfatilie mwanaume chakwanza jiangalie ww kama ww fata moyo wako unataka nn ila ukisema uachane nae mm sizani ni solution mana unaweza ukachana nae ukapata bom ilo ukamkumbuka na huyo ww cha msingi msamehe mkanye maishs yaendelee kama kakubali kakosa na kasema atajirekebisha msamehe tuu ondoa mawazo mabaya tulieni muoane mfanye maishs bac mwanamke au mwanaume akikucheat samehe akieudia tena ndo achana nae afai uyo....ila kwa sasa msamehe kosa ninkurudia kosa.
Ni kwel wanaume asili yao kuchepuka Ila Mimi kinachoniumiza sana kumleta huku ndani ninakoishi naye yani kila nikiona hiki kitanda maumivu yanaanza moja

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wetu tunawaombea hawa wanaume uwajalie uponyaji ili hio mikengele yao isiwape shida kabisa. Wapate kufurahia mikengele yao na si kupata tabu na mateso ambazo zinatuumiza na sisi. Tunaomba na kushukuru, tukiamini shida zitaisha!!
Sala fupi namna hii?

Hii inahitaji maombi, kukesha na kufunga.
 
Back
Top Bottom