General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
Mwache jamaa uje kwangu
Hata huyo Yesu kila mtu anamuita bwana!!!Anataka mme ammiliki mwenyewe. Labda akaolewe na Yesu
Badilisha kitanda nunua kingineNi kwel wanaume asili yao kuchepuka Ila Mimi kinachoniumiza sana kumleta huku ndani ninakoishi naye yani kila nikiona hiki kitanda maumivu yanaanza moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hako kasili kadogo, ulichompa[emoji3][emoji3],nmejikuta nnacheka tu.Dada weka kautulivu kidogo tu utapata uelekeo mzuri tu. Kuchagua samaki mmoja katika bahari sio kazi ndogo. Wanaume tuna kazi ngumu mno katika hili,kaacha wengi na huyo aliyetuma sms ni mmoja tu kati ya waliokuwa katika bahari.
Hebu jipige kifuani jiambie mimi ndo mchaguliwa na mliwa wa milele. Nikwambie ukweli ukijivuruga hapo jamaa hana cha kupoteza kwa sababu ana akiba ya kutosha kabisa,atavua samaki mwingine na wewe ulianziwa process ya kutolewa magamba utatupwa baharini ukapambane na wenzio.
Kikubwa ungea nae kiupole kwa hekima na busara na si kumsimanga sana utakuwa unaharibu mchezo mzima.
Kikubwa zaidi nikupe kasiri kadogo dada angu" ukipewa uume na kuwa mwanaume japo kwa wiki moja tu utaona tunavyopata shida na hii mikengere yetu". Mtuombee tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani ni mume bora??Ila wanaume Mungu anawaona jamani, me juzi yamenikuta kama yako.
Na sijui kashtukia kitu gani kila muda anataja ndoa tu me nam-zoom tu, sikubali sikatai nipo katikati maana nishajua siyo mume bora kwangu.
Kila mtu ana madhaifu yake, unahisi naye ni perfect. Makosa yapo kusameheana kuwepo ili waeze kujenga vema.Kwasababu Mungu anatambua upendo wako wa dhati moyoni mwako anaamua amfunue huyo ambae umempa moyo wako ili umfahamu tabia zake na mwisho uamue mwenyewe kusuka au kunyoa.
Ikiwa ameanza hivyo bado ni wachumba mkiingia kwenye ndoa itakuwaje ask yourself
Ikiwa hata umemuuliza amekataa ask yourself siku si utaketewa watoto wake na atakataa anakuona zoba? Ask yourself.
Ninalo suruhisho but siwezi sema hapa.
Uwe na moyo mkuu omba sana
Monster insideNani ni mume bora??
Scratch a hero and u ll find a monster inside
Sent using Jamii Forums mobile app
There u are. Kukoseana kupo, la msingi tujifunze kukabidhi vitu vyetu kwa Mungu.Monster inside
Kila mtu ana madhaifu yake, unahisi naye ni perfect. Makosa yapo kusameheana kuwepo ili waeze kujenga vema.
None is perfect. Mtamshauri humu baadae aje akutane na mtu abusive sana, shits happen. Still kuna nafasi ya kutengeneza hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeiba avatar yangu Haya bhana kila la khernakupa soln yakutokiona hiko kitanda niuzie mm upate pesa au kichome moto ili usipate kukiona tena...ukiina yote huwezi amia kwangu hautokiona hiko kitanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayeenda kutolewa mahari ni wewe, si ndio? Kwa mantiki hiyo atakayeolewa ni wewe...
Sasa sababu za kupaniki ni nini? Hivi nyie wasichana ni lini mtakuja kuamini mwanaume ni jasiri asiyeacha asili take? Asili ya mwanaume ni kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja.
Hebu piga moyo konde endelea kula raha na huyo jabali. Maisha ni hayahaya tena mafupi sana.
Mme wako ni pale unapokuwa naye.
Babu nimemaliza narudi kitandani
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 loh!!Anataka mme ammiliki mwenyewe. Labda akaolewe na Yesu
Dalili ya mvua ni mawingu.Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu, naombeni ushauri wenu katika hili maana hata sielewi nini cha kufanya Nina mpenz Wang nmeishi naye kwa miaka 4 sasa na mwezi wa 2 mwaka huu amepanga kupeleka mahari kwetu ili tufunge ndoa na nyumbani nimeshawapa taarifa kuwa kutakuwa na ugeni.
Cha kushangaza juzi usiku tumelala imeingia text kwenye cm yake ya mdada anamlalamikia kuwa yupo bize sana amemsusa hamjali Kama mwanzo kiufupi ilikuwa inamalalamiko kibao na ilionesha kuwa ni wapenzi.
Kwa usiku huo sikutaka kumwambia mpenzi wangu chochote nilichukua no za yule dada asubui nikampigia nikajitambulisha kuwa nimekuta text yake kwenye cm ya mme Wang kiukwel yule dada alishtuka akanambia kuwa mpenz Wangu alimtongoza na alimwambia hana mke na alikuwa anamleta hadi nyumban tunapoishi coz mm kuna kipindi nilisafiri mwezi mmoja.
Ila baada ya mda niliporud akawa anaenda naye gest kila akimwambia twende kwako akawa anamzungusha anamwambia kule kwangu Kuna mafundi wanapaka rangi kutakuwa na usumbufu, kiukweli niliumia sana sikuamini ninachokisikia nikamuuliza Kama ni kweli ameshakuleta hadi nyumbani ndani pakoje maana nilihisi labda ananidanganya coz sikuamin.
Kama mwanaume Wangu anaweza kuleta mwanamke mwingne kwenye kitanda ninacholala nae mm kiukweli huyu dada alinitajia kila kitu kilichopo ndani hadi rangi za mashuka sikuamini bdo nikamwambia njo kwangu akaja alipoingia ndani nikamuuliza ulivyoambiwa hana mke inamana hukuona vtu vyang vya kike humu ndani akanambia hii mikoba kwenye enga haikuwepo na viatu vyako kwenye stend sikuvikuta kwa maana hiyo inaonesha alivitoa akanambia pia na kabati la nguo alikuwa akijaribu kufungua lilikuwa limefungwa na funguo.
Baada ya hapo nilijarbu kuongea na mpenz Wangu akakataa kabisa kuwa hajafanya hivyo ila baada ya kumbana sana akakubali akaniomba msamaha sikumjibu hata Kama nimemsamehe nilimwambia kwa ulichonifanyia umeniumiza sana nitakufikiria toka hapo na maumivu makali sana kichwa kinaniuma sana sipati hata usingizi nimepoteza hisia naye kimapenzi nipo nae Ila Niko njia panda sielewi nifanyaje na nyumbani kwetu wanajua Kuna ugeni unaenda mwez wa 2 hapa sijui niachane naye au niendelee nae naombeni mnisaidie kuhusu ili jambo linaniumiza sana nahisi kuchanganyikiwa na mda alionipotezea
Sent using Jamii Forums mobile app