Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 4,075
- 6,619
Tuliza kichwa na usifanye maamuzi magumu yoyote kwa sasa humu kuna mchele na chuya nyingi utapotezwa. Na ikiwezekana kaa n huyo mchumba ako mpige maswali mazito ili ujue mtazamo wake kabla ya yote. Kuendelea naye na kuachana naye mtu ambaye mmekuwa na mipango naye ya muda mrefu ni maumivu hakuna lililo na nafuu. I wish ungekuwa mdogo angu au dadaangu nikae nawewe kitako nikupange. Pole kwa maumivu unayopitia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app