Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu

Wewe bila ushauri umekusudia kufanya uamuzi gani?
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu, naombeni ushauri wenu katika hili maana hata sielewi nini cha kufanya Nina mpenz Wang nmeishi naye kwa miaka 4 sasa na mwezi wa 2 mwaka huu amepanga kupeleka mahari kwetu ili tufunge ndoa na nyumbani nimeshawapa taarifa kuwa kutakuwa na ugeni.

Cha kushangaza juzi usiku tumelala imeingia text kwenye cm yake ya mdada anamlalamikia kuwa yupo bize sana amemsusa hamjali Kama mwanzo kiufupi ilikuwa inamalalamiko kibao na ilionesha kuwa ni wapenzi.

Kwa usiku huo sikutaka kumwambia mpenzi wangu chochote nilichukua no za yule dada asubui nikampigia nikajitambulisha kuwa nimekuta text yake kwenye cm ya mme Wang kiukwel yule dada alishtuka akanambia kuwa mpenz Wangu alimtongoza na alimwambia hana mke na alikuwa anamleta hadi nyumban tunapoishi coz mm kuna kipindi nilisafiri mwezi mmoja.

Ila baada ya mda niliporud akawa anaenda naye gest kila akimwambia twende kwako akawa anamzungusha anamwambia kule kwangu Kuna mafundi wanapaka rangi kutakuwa na usumbufu, kiukweli niliumia sana sikuamini ninachokisikia nikamuuliza Kama ni kweli ameshakuleta hadi nyumbani ndani pakoje maana nilihisi labda ananidanganya coz sikuamin.

Kama mwanaume Wangu anaweza kuleta mwanamke mwingne kwenye kitanda ninacholala nae mm kiukweli huyu dada alinitajia kila kitu kilichopo ndani hadi rangi za mashuka sikuamini bdo nikamwambia njo kwangu akaja alipoingia ndani nikamuuliza ulivyoambiwa hana mke inamana hukuona vtu vyang vya kike humu ndani akanambia hii mikoba kwenye enga haikuwepo na viatu vyako kwenye stend sikuvikuta kwa maana hiyo inaonesha alivitoa akanambia pia na kabati la nguo alikuwa akijaribu kufungua lilikuwa limefungwa na funguo.

Baada ya hapo nilijarbu kuongea na mpenz Wangu akakataa kabisa kuwa hajafanya hivyo ila baada ya kumbana sana akakubali akaniomba msamaha sikumjibu hata Kama nimemsamehe nilimwambia kwa ulichonifanyia umeniumiza sana nitakufikiria toka hapo na maumivu makali sana kichwa kinaniuma sana sipati hata usingizi nimepoteza hisia naye kimapenzi nipo nae Ila Niko njia panda sielewi nifanyaje na nyumbani kwetu wanajua Kuna ugeni unaenda mwez wa 2 hapa sijui niachane naye au niendelee nae naombeni mnisaidie kuhusu ili jambo linaniumiza sana nahisi kuchanganyikiwa na mda alionipotezea

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aya mambo magumu sanaaa unakuta siku ya kwanza walienda guest demu akawa anajua show kuliko wewe jamaa akaamua amkaribishe home kabisa apime kama anafiti akaona chengaa wewe wa kuolewa ila huyo mwezako ataachwa atakuwa fundi kitandani shida wanawake waolewaji kitandani hawajui kitu akijua lazima anakaumalaya flani hivi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unatakaje mamy? Kama moyo wako unataka kuachana nae achana nae tu

Kikubwa ameshajua kosa lake msamehe wanaume wote baba mmoja mama mmoja
 
Uamuz Wang wa kwanza nilipanga nimuache Ila kila mtu ananishaur nikimuacha nitajuta mara umekaa naye mda mrefu umeshamjua tabia kuliko kuanza mahusiano mapya unaweza ukapata kivuruge zaidi ya uyo tena mwenye familia akakudanganya hana, wengine wananiambia achana naye ndomana nachanganyikiwa sahv nmejikuta sina tena msimamo sielewi nisikilize lipi
Wewe bila ushauri umekusudia kufanya uamuzi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu, naombeni ushauri wenu katika hili maana hata sielewi nini cha kufanya Nina mpenz Wang nmeishi naye kwa miaka 4 sasa na mwezi wa 2 mwaka huu amepanga kupeleka mahari kwetu ili tufunge ndoa na nyumbani nimeshawapa taarifa kuwa kutakuwa na ugeni.

Cha kushangaza juzi usiku tumelala imeingia text kwenye cm yake ya mdada anamlalamikia kuwa yupo bize sana amemsusa hamjali Kama mwanzo kiufupi ilikuwa inamalalamiko kibao na ilionesha kuwa ni wapenzi.

Kwa usiku huo sikutaka kumwambia mpenzi wangu chochote nilichukua no za yule dada asubui nikampigia nikajitambulisha kuwa nimekuta text yake kwenye cm ya mme Wang kiukwel yule dada alishtuka akanambia kuwa mpenz Wangu alimtongoza na alimwambia hana mke na alikuwa anamleta hadi nyumban tunapoishi coz mm kuna kipindi nilisafiri mwezi mmoja.

Ila baada ya mda niliporud akawa anaenda naye gest kila akimwambia twende kwako akawa anamzungusha anamwambia kule kwangu Kuna mafundi wanapaka rangi kutakuwa na usumbufu, kiukweli niliumia sana sikuamini ninachokisikia nikamuuliza Kama ni kweli ameshakuleta hadi nyumbani ndani pakoje maana nilihisi labda ananidanganya coz sikuamin.

Kama mwanaume Wangu anaweza kuleta mwanamke mwingne kwenye kitanda ninacholala nae mm kiukweli huyu dada alinitajia kila kitu kilichopo ndani hadi rangi za mashuka sikuamini bdo nikamwambia njo kwangu akaja alipoingia ndani nikamuuliza ulivyoambiwa hana mke inamana hukuona vtu vyang vya kike humu ndani akanambia hii mikoba kwenye enga haikuwepo na viatu vyako kwenye stend sikuvikuta kwa maana hiyo inaonesha alivitoa akanambia pia na kabati la nguo alikuwa akijaribu kufungua lilikuwa limefungwa na funguo.

Baada ya hapo nilijarbu kuongea na mpenz Wangu akakataa kabisa kuwa hajafanya hivyo ila baada ya kumbana sana akakubali akaniomba msamaha sikumjibu hata Kama nimemsamehe nilimwambia kwa ulichonifanyia umeniumiza sana nitakufikiria toka hapo na maumivu makali sana kichwa kinaniuma sana sipati hata usingizi nimepoteza hisia naye kimapenzi nipo nae Ila Niko njia panda sielewi nifanyaje na nyumbani kwetu wanajua Kuna ugeni unaenda mwez wa 2 hapa sijui niachane naye au niendelee nae naombeni mnisaidie kuhusu ili jambo linaniumiza sana nahisi kuchanganyikiwa na mda alionipotezea

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiingie kwenye ndoa kama haujaliweka sawa hii
 
Back
Top Bottom