Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu

Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu

Ndani ya miezi 6, michepuko 3 aah hapana bana wee. Mambo ya kutiwa moyo ooh mbona hajawachagua wengine, kakuchagua wewe sasa
Binamu nilitoa ushauri before reading this thread [emoji1][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3]kwenye ile anamlalamikia mmewe loohh!kumbe nilikua sahihi 100% Dada kafosi ndoa simcheki lakini [emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]yamemkuta tayari!kiuhalisia mwanaume ambae hajazoea kuchepuka hawezi chepuka ndani ya miezi 6 ya ndoa!!!
Alikua analijua vzr jini lake kaamua ahangaike nalo sasa hivi analalamika nini sasa
 
Ndani ya miezi 6, michepuko 3 aah hapana bana wee. Mambo ya kutiwa moyo ooh mbona hajawachagua wengine, kakuchagua wewe sasa
Ndo shida ilipoanzia hapo kua amekuchagua wewe!na kimuhemuhe cha shela kitaaamu balaa!
Huyo kaka umalaya ataacha akiamua ila si kwa mikwara ya mkewe wala wachungaji maana mzoefu vzr tu!
 
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu, naombeni ushauri wenu katika hili maana hata sielewi nini cha kufanya Nina mpenz Wang nmeishi naye kwa miaka 4 sasa na mwezi wa 2 mwaka huu amepanga kupeleka mahari kwetu ili tufunge ndoa na nyumbani nimeshawapa taarifa kuwa kutakuwa na ugeni.

Cha kushangaza juzi usiku tumelala imeingia text kwenye cm yake ya mdada anamlalamikia kuwa yupo bize sana amemsusa hamjali Kama mwanzo kiufupi ilikuwa inamalalamiko kibao na ilionesha kuwa ni wapenzi.

Kwa usiku huo sikutaka kumwambia mpenzi wangu chochote nilichukua no za yule dada asubui nikampigia nikajitambulisha kuwa nimekuta text yake kwenye cm ya mme Wang kiukwel yule dada alishtuka akanambia kuwa mpenz Wangu alimtongoza na alimwambia hana mke na alikuwa anamleta hadi nyumban tunapoishi coz mm kuna kipindi nilisafiri mwezi mmoja.

Ila baada ya mda niliporud akawa anaenda naye gest kila akimwambia twende kwako akawa anamzungusha anamwambia kule kwangu Kuna mafundi wanapaka rangi kutakuwa na usumbufu, kiukweli niliumia sana sikuamini ninachokisikia nikamuuliza Kama ni kweli ameshakuleta hadi nyumbani ndani pakoje maana nilihisi labda ananidanganya coz sikuamin.

Kama mwanaume Wangu anaweza kuleta mwanamke mwingne kwenye kitanda ninacholala nae mm kiukweli huyu dada alinitajia kila kitu kilichopo ndani hadi rangi za mashuka sikuamini bdo nikamwambia njo kwangu akaja alipoingia ndani nikamuuliza ulivyoambiwa hana mke inamana hukuona vtu vyang vya kike humu ndani akanambia hii mikoba kwenye enga haikuwepo na viatu vyako kwenye stend sikuvikuta kwa maana hiyo inaonesha alivitoa akanambia pia na kabati la nguo alikuwa akijaribu kufungua lilikuwa limefungwa na funguo.

Baada ya hapo nilijarbu kuongea na mpenz Wangu akakataa kabisa kuwa hajafanya hivyo ila baada ya kumbana sana akakubali akaniomba msamaha sikumjibu hata Kama nimemsamehe nilimwambia kwa ulichonifanyia umeniumiza sana nitakufikiria toka hapo na maumivu makali sana kichwa kinaniuma sana sipati hata usingizi nimepoteza hisia naye kimapenzi nipo nae Ila Niko njia panda sielewi nifanyaje na nyumbani kwetu wanajua Kuna ugeni unaenda mwez wa 2 hapa sijui niachane naye au niendelee nae naombeni mnisaidie kuhusu ili jambo linaniumiza sana nahisi kuchanganyikiwa na mda alionipotezea

Sent using Jamii Forums mobile app
Olewa naye, kosa lake ni kumleta nyumbani tu lakini usidhani mkioana hatapiga nje na hautapata mwanaume asiyepiga nje hata sisi tunapiga nje kiufupi wanaume asilimia kubwa tunapiga nje lakini tunaheshimu ndani

Kama unamuacha muache kwa kumleta ndani sio kwa kupiga nje

NIMEKUCHANA[emoji34][emoji34]
 
Olewa naye, kosa lake ni kumleta nyumbani tu lakini usidhani mkioana hatapiga nje na hautapata mwanaume asiyepiga nje hata sisi tunapiga nje kiufupi wanaume asilimia kubwa tunapiga nje lakini tunaheshimu ndani

Kama unamuacha muache kwa kumleta ndani sio kwa kupiga nje

NIMEKUCHANA[emoji34][emoji34]
Kashaanzisha thread ya kumfumania tena hukoo
 
Anayeenda kutolewa mahari ni wewe, si ndio? Kwa mantiki hiyo atakayeolewa ni wewe...

Sasa sababu za kupaniki ni nini? Hivi nyie wasichana ni lini mtakuja kuamini mwanaume ni jasiri asiyeacha asili take? Asili ya mwanaume ni kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja.

Hebu piga moyo konde endelea kula raha na huyo jabali. Maisha ni hayahaya tena mafupi sana.

Mme wako ni pale unapokuwa naye.

Babu nimemaliza narudi kitandani
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom